Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,870
- 2,122
[h=2]Ni Dell 5040 Ram ni 4 gb Hard disk ni 500 dvd writer, Wireless, screen 15.6 inch web calm Price ni 530000 Processor ni 2.1Ghz, 2.1Ghz Dual core kama unahitaji nicheki inbox..
NB:- zimebaki chache!!View attachment 174381View attachment 174382[/h]
Sijawahi kula andazi la 530000
amesema bei ya maandazi, siyo andazi!...hahahhaa
Sijawahi kula andazi la 530000
Bado hata hivo sijawah kula maandaz ya hiyo ela nkijitahd sana ni maandaz ya jero
hajasema maandazi ya kula wewe, amesema tu "BEI YA MAANDAZI", inaweza kuwa unanunua ukauze hotelini, au unanunua yamsibani, lakini ni bei tu ya maandazi!...lol
Ya msiban huwaga ni bure na ya kuuza hitelin huwa wanapika wenyewe hawanunui
hahaha, inategemea na hotel, hotel nyingi wana supplier ambaye anapeleka mikate na vitafunwa vingine, uswahilini ndiyo wanapika wenyewe. Misiba ya ushuwani hakuna kupika, anapewa mtu tender tu ya kulisha watu!
Haha haya bana umeshinda ila huyu jamaa sidhan kama ni wa ushuani huyu had anaiuza..... "just utani asije kupanik"