Computer4Sale Laptop i3,500GB inauzwa bei poa

Computer4Sale Laptop i3,500GB inauzwa bei poa

Jipatie Lenovo G50 processor i3, ram 4G na hdd 500GB ipo katika hali nzuri kabisa haina mchubuko hata kidogo, bei 450,000 tu.
Sina simu ya kupigia picha ila utaiona na kuikagua kwanza kabla ya kununua.
Uko wapi mkuu tuongee biashara???
 
Back
Top Bottom