Hi wapendwa,
Ninatatizo na laptop nitumiayo ambayo ni ya kampuni,mtaalamu wa IT wa kampuni amedhibiti hii laptop kwa kufunga code zake kiasi kwamba hata ukitaka kuweka programme yoyote inakataa,yeye yuko NRB nilichofanya nikupeleka kwa fundi aliyejitahidi kufungua hizo code na sasa naweza angalau kuongezea vikorombezo vingine,tatizo linakuja pale ninapotaka kusikiliza muziki kutoka kwenye flash disc,huwa inakuwa inatoa mlio wa kama vile cd imekwama na baadaye hujifunga,na sasa hata nikifungua huchukua muda mrefu.
Je nifanyeje kurekebisha hilo tatizo la kukwama kwa mziki au picha na kuchelewa kufunguka.pia nimesoma kuwa Mitsumi garage ni wataalamu waliobobea je ni kweli.
Na mwisho nawashukuru sana wataalamu wanaotoa mada za ICT hapa jamii,mimi sijui chochote kuhusu ICT lakini kwa kuanza kusoma mada mbalimbali kutoka kwa watu kama Invicible,Shy na wengineo nimeelemiki kiasi kuhusu ICT,kwa mfano kwa sasa kwa kupitia huu mtandao nimeweza ku down load portale App suite.
Huo ndio uzalendo,sio lazima wote tuwe wabunge au wanasiasa ndio tujifanye tunaweza kujenga nchi.
Asante sana na kwa wengine tujitahidi kupitia hii sehemu ya Teknolojia ,tusiishie kusoma mambo ya akina Liyumba ,dowans na vituko vya wakubwa havitusaidii.
Aluta Continua