Computer4Sale Laptop inauzwa

Computer4Sale Laptop inauzwa

Ina kitu gani cha ziada hadi uuze milioni 4

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
Nadhani kwa hiyo bei nadhani muuzaji anamaanisha inaweza kukaa na charge wiki nzima bila kuzima, unapata free internet bundle za kutumia miaka mitatu, Bluetooth range ya 1km, na kuweza kuaccess automatically free wifi popote kutakapokuwa na wifi.
 
Zed Air Laptop inauzwa.
HDD:-500 GB
RAM:-3GB
Processor:-Intel( R) Celeron (R) 1.10GHz
Price:-250,000/-
Contacts:0759-124378

20210905_123946.jpg
 
Back
Top Bottom