Computer4Sale Laptop kali sana core i5 Dell inauzwa

Naona kinachoifanya kuuzwa lak 4.8 ni hiyo ssd tu.
 
Hujui kitu tulia tu hata ssd na Hdd hujui yofaut yake hata ufayaji kazi wake
Ningekuwa sijui nisingesema kinachoipa bei hiyo pc ni hiyo ssd. Maana ssd ya gb500 ni karibu nusu ya bei nzima ya hiyo pc uliyoweka hapo.
 
Nawaza sana his SSD mwenyewe mpaka naogopa ngoja nifikirie vizuri then niamue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…