laptop mpya

laptop mpya

Sipo

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2008
Posts
2,139
Reaction score
95
Kuna jamaa yangu yuko Ifakara anatafuta laptop mpya. Ana kiasi cha shilingi laki tano na nusu (550,000/=). Naomba tumwelekeze kama anaweza pata kwa bei hii na ni aina gani anaweza kupata. Akiambiwa na sehemu, i mean duka la kwenda si mbaya pia

Nawasilisha
 
Ninayo ambayo nimetumia kwa miezi sita hivi DELL INSPIRION 4000 nitumie simu yako kwenye PM nikupigiye.
 
Vp naweza pata commision?

Dah!! Kusema kweli ndugu yangu Fidel80 sijajua kama mshikaji anatoa commission ila siyo mbaya ukamwelekeza maybe atatoa.
 
Ninayo ambayo nimetumia kwa miezi sita hivi DELL INSPIRION 4000 nitumie simu yako kwenye PM nikupigiye.

Okey Kimatire ngoja nim-text jamaa nimwambie kuna kitu hicho then i will come back to you man
 
Kuna jamaa yangu yuko Ifakara anatafuta laptop mpya. Ana kiasi cha shilingi laki tano na nusu (550,000/=). Naomba tumwelekeze kama anaweza pata kwa bei hii na ni aina gani anaweza kupata. Akiambiwa na sehemu, i mean duka la kwenda si mbaya pia

Nawasilisha

Laki tano hazitoshi kupata Laptop mpya!!!
 
DDDuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!!

Mhe. Kisoda2 kwani umemsahau braza Fidel80 kwa kupinga mapanga ndio zake, ila mimi namjua atampatia jamaa laptop fresh tu, hapo anatania tu, hayuko serious
 
Yeye anataka iweje kwani? Iwe na vitu kama nini?
 
Unasikia Fidel80 jamaa actually sio mtaalamu wa kompyuta ila anataka laptop mpya na sasa hivi kanidokeza kuwa iwe either DELL au HP na window 2007. Sasa nami sio mtaalamu kihivyo ndio maana nimeleta ombi lake hapa. Mimi nafikri tumsaidie kupata mpya nzuri, mshikaji mwenyewe ana-deal na mambo ya utafiti kwa hiyo sidhani kama itakuwa kama ya watu wa ujenzi
 
Vp naweza pata commision?
Mkuu nilidhani kazi ya udalali umekwisha achana nayo.maisha ni magumu sana, Mpwa tafuta ajira nyingine.YoYo anataka kuanzisha kanisa amekuambia?
 
mkuu laptop mpya (brand new) kwa bongo hapa labda kuanzia $700 kwa hizo hp au dell. zipo aina nyingine kama Acer unaweza kupata hata kwa $600.
bei mara nyingi zinategemeana na ubora na specifications.
mfano kwa $700 unapata kitu safi kinakuwa na hard disk ya zaidi ya 120GB, 1GB ya RAM, Core Dual Processor ya 1.7GHZ na kuendelea, DVD R/W. hivi ni vitu vya uhimu, lakii zingine zinakua na vikorombwezo kama Wireless Connnectivity(WiFi), BlueTooth, camera etc.
laptop mpya akinunua itakua bomba zaidi kuliko used, kizuri gharama mkuu!!
 
Wewe Josm, Fidel80 kanisani akawe nani? akianza utumishi itabidi niweke appeal. Vipi sasa Josm kuhusu kalaptop mjomba? Wewe ya kwako ulinunua wapi?
 
mkuu laptop mpya (brand new) kwa bongo hapa labda kuanzia $700 kwa hizo hp au dell. zipo aina nyingine kama Acer unaweza kupata hata kwa $600.
bei mara nyingi zinategemeana na ubora na specifications.
mfano kwa $700 unapata kitu safi kinakuwa na hard disk ya zaidi ya 120GB, 1GB ya RAM, Core Dual Processor ya 1.7GHZ na kuendelea, DVD R/W. hivi ni vitu vya uhimu, lakii zingine zinakua na vikorombwezo kama Wireless Connnectivity(WiFi), BlueTooth, camera etc.
laptop mpya akinunua itakua bomba zaidi kuliko used, kizuri gharama mkuu!!

Kaka George nimekopy kama ulivyoniandikia nikamtumia kwenye email yake! Nii maelezo mazuri sana mkuu. Thanks alot man
 
Back
Top Bottom