Computer4Sale Laptop na Tablet mpyaa kwa bei pouwa: 30% discount

Computer4Sale Laptop na Tablet mpyaa kwa bei pouwa: 30% discount

Vieloon

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
1,520
Reaction score
694
Vunja Bei Matelephones.

Tunauza Laptops mpyaa na Tablets za kisasa, original full accessories kwa Punguzo la 30%

LAPTOP.
Brands zilizopo ni Dell, HP, Toshiba, Acer, Assus & Sony.
Kuanzia Duo Core mpaka Core i7
storage: zipo za 320GB mpaka 1TB
BEI: imepoa saana. 30% discount

TABLET.
tab note, tab A, tab E, tab S na tab S2
size: zipo za 8" na 10.1"
storage 16GB na 32GB , pia external SD card.
network: cellular + WiFi
Bei: 30% discount

pia kumbuka vunjabei matelephones tunazo smartphones za kisasa na kali toka south Africa, mzigo unaingia kila week na tunauza kwa bei pouwa kabsa.

mf. brand new Samsung Galaxy S7 ya 32GB utapata kwa 750k na S7 edge ya 64GB unapata kwa 1.2mil only. iPhone 7 ya 128GB unapata kwa 1.6mil tu...etc.

kwa mawasilino : 0654776976
vieloon@gmail.com
IMG-20170122-WA0076.jpg
IMG-20170122-WA0087.jpg
IMG-20170122-WA0077.jpg
IMG-20170122-WA0072.jpg
IMG-20170122-WA0088.jpg
IMG-20170122-WA0081.jpg
IMG-20170122-WA0070.jpg
IMG-20170122-WA0088.jpg
IMG-20170122-WA0078.jpg
IMG-20170122-WA0075.jpg
IMG-20170122-WA0081.jpg

IMG-20170122-WA0120.jpg
IMG-20170122-WA0122.jpg
IMG-20170122-WA0123.jpg
IMG-20170122-WA0081.jpg

NB:
Niwaombe radhi sababu mzigo ni mkubwa inaniwia vigumu kupost hapa picha za kila moja ikiambatana na maelezo ya uwezo wake pamoja na bei ya kila moja.

Zingatia tu Bei zetu ni pouwa kuanzia 400k mpka 700k kwa laptop mpyaa, used unapata mpka za 300k..bei hizo ni baada ya punguzo la mpaka 30% ya bei halisi. Mfn. Laptop X ambayo thaman yake ni 1mil hiyo utapata kwetu kwa kati ya 700k mpaka 650k. Pia tablets, ipads na smartphones za kisasa na mpyaa zipo pia.
Hivyo mteja unaweza kuangalia bajeti yako ni ngapi then tukawasiliana...au unaweza angalia unahitaji laptop ya uwezo upi then ukanitafuta kwa namba hii 0654776976 nikakupa bei na tukaongea zaid juu ya biashara..na uzuri most of my prices are negotiable!
 
Tanzania bana mtu anafocus kwenye kuuza kitu bila kutoa taarifa sahihi, kwaio 30% discount kwenye laptop ndo ipi?
Yaani utadhani tulikuwa kila siku tunaenda dukani kwake kuuliza bai ya hizo laptop
 
Mkuu weka tab na bei yake tafadhari

Mkuu taja bei kwa kila laptop
 
Tanzania bana mtu anafocus kwenye kuuza kitu bila kutoa taarifa sahihi, kwaio 30% discount kwenye laptop ndo ipi?
Soma maelezo vizuri...!!!

Niliandika:
Niwaombe radhi sababu mzigo ni mkubwa inaniwia vigumu kupost hapa picha za kila moja ikiambatana na maelezo ya uwezo wake pamoja na bei ya kila moja.

Zingatia tu Bei zetu ni pouwa kuanzia 400k mpka 700k kwa laptop mpyaa, used unapata mpka za 300k..bei hizo ni baada ya punguzo la mpaka 30% ya bei halisi. Mfn. Laptop X ambayo thaman yake ni 1mil hiyo utapata kwetu kwa kati ya 700k mpaka 650k.
 
Pumba na wizi
Soma maelezo vizuri, by the way hujalazimishwa kuja kununua bishaa zangu wala kufuatilia matangazo yangu...una* wewe sio bure!
Sasa kalia hivyo hivyo na majungu yako km mtoto wa kike..wenzio wanajipatia vitu bora.
 
weka bei....sasa hiyo discount ni ya wapi?
Poleni wakuu kwa kutonielewa ila nishauri tu bfore kulalamika na kulaumu mjifunze kwanza kuelewa..

Lengo na dhumuni la tangazo langu haikuwa kufafanua bei ya kila laptop niliyonayo, bali kutangazo kwmba kuna laptop zinazouzwa kwa bei nafuuu....hiyo nafuu sasa km kweli wewe ni muhitaji utaijua tu. Ndio maana kuna contact zangu.

Mzigo upo mkubwa saana kuanzia kuweka picha moja moja na maelezo yake pamoja na bei, hivyo huwa tunaweka picha chache tu km sample ya mzigo uliopo, so km unataka picha zaidi na uwezo wa kila moja na bei namba yangu ipo hapo unaweza nipigia, au ukatuma text au ukani whatsapp au hata ukabeep utapigiwa, Sasa yanini kujaza tangazo kwa picha za mzigo wote ulojaa dukan?? Au kuweka bei ya laptop chache wakati zipo nying tu zenye uwezo tofauti tofauti, km kweli unahitaji ndio maana kuna mawasiliano natoa.

Nambie unahitaji brand ipi na ya uwezo upi, dhen km ipo nitakutumia picha na info nyingne unazohitaji kujua before hujafanya maamuzi ya kununua au la.

Au pia unaweza nambia bajet yako imekaaje ili nikutumie picha za laptops unazoweza kupata kwngu kulingana na bajet yako...

Namba yangu ni hii..0654776976.
Weka bei ya kila chombo,

Unaleta sanaa kwenye nyumba ya sanaa! Weka bei kwa kila bidhaa!

Yaani utadhani tulikuwa kila siku tunaenda dukani kwake kuuliza bai ya hizo laptop

Tanzania bana mtu anafocus kwenye kuuza kitu bila kutoa taarifa sahihi, kwaio 30% discount kwenye laptop ndo ipi?
 
Unaleta sanaa kwenye nyumba ya sanaa! Weka bei kwa kila bidhaa!
Nimeshakwambia...
Lengo na dhumuni la tangazo langu haikuwa kufafanua bei ya kila laptop niliyonayo, bali kutangaza kwmba kuna laptop zinazouzwa kwa bei nafuuu....hiyo nafuu sasa km kweli wewe ni muhitaji utaijua tu. Ndio maana kuna contact zangu.

Mzigo upo mkubwa saana kuanzia kuweka picha moja moja na maelezo yake pamoja na bei, hivyo huwa tunaweka picha chache tu km sample ya mzigo uliopo, so km unataka picha zaidi na uwezo wa kila moja na bei namba yangu ipo hapo unaweza nipigia, au ukatuma text au ukani whatsapp au hata ukabeep utapigiwa, Sasa yanini kujaza tangazo kwa picha za mzigo wote ulojaa dukan?? Au kuweka bei ya laptop chache wakati zipo nying tu zenye uwezo tofauti tofauti, km kweli unahitaji ndio maana kuna mawasiliano natoa.

Nambie unahitaji brand ipi na ya uwezo upi, dhen km ipo nitakutumia picha na info nyingne unazohitaji kujua before hujafanya maamuzi ya kununua au la...

Kwanza ungekuwa mteja ungeshanitafuta...au unasoma kooote ila hiyo namba yangu huioni???
Mbona Wakuu ambao ni wateja kweli sio ongea ongea km wewe ninawasiliana nao hapa.....

Haya namba hii hapa, hata beep bas utumiwe hizo picha na bei ya kila moja: 0654776976.
 
Haya ni madhara ya kuweka matangazo bila kulipia pesa ya kutosha

Zingekutoa milioni walau tisa kuweka tangazo hapa lingekuwa bora.
Tungeona picha ya bidhaa bei yake kabla ya punguzo bei yake baada ya punguzo.
Sasa kama umelazimishwa kuleta tangazo kama dalali vile.
Kuwa 'smart' utawavutia wengi.
 
Acha kukurupuka!!
Me sirembi matangazo ili kuvutia watu, huwa cpigi mayowe mkuu...sababu naamin wenye uhitaji wa bidhaa bora wataona wenyewe!

By the way wewe sio mteja wala mshauri wa wafanya biashara so pita kushoto hii haikuhusu!!!
 
Hahaahaaa! pole ndugu usipaniki nilikuwa nataka nichukue namba yako nikupigie nipate kununua moja ya bidhaa zako , nimekutana na hii reply.

Ila haina shida hata kama si mnunuzi ama mshauri nitakupigia nije kununua kompyuta.
 
mkuu Vieloon shusha jazba. jaribu kuielewa hadhira ya JF na kuuthamini mchango wake. utajitaabisha kwa presha bure kwa jukwaa hili ikishazoeleka hata mleta mzaha ni mteja. kiukweli ni vigumu kumuelewa aliye 'serious' na mwenye kejeli/mizaha tu bora adondoshee 'coment' yake. lakini upande mwingine changamoto na kukosolewa ni nzuri; humsaidia mkosolewaji kukaa kwenye mstari ulionyooka. kama ukitaka kusadiki maneno yangu, pitia nyuzi kadhaa za jukwaa hili, mdau anabandika tangazo la kuuza gari mf. 7.5m kisha post mbili au tatu zinakosoa bei kubwa, kwa bei hiyo kubali kuzeeka nalo, weka picha, mara show room hiyo gari naipata kwa 4m na chenji inabaki. kwaio mkuu jifunze kushuka uendane nasi. hili ni jukwaa huru kila mtu yuko huru kufungua uelewa wake kupitia keyboard/pad yake. hatahivyo bidhaa zako zinaonekana ni nzuri kwa picha. utauza kwa uhakika kabisa kwa wanaohitaji. japo naunga mkono suala la kutuwekea bei ya awali na hiyo mpya baada ya punguzo la 30%. kikubwa UAMINIFU TU mkuu. kila la kheri katika biashara yako.
 
Back
Top Bottom