Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Ni Tanzania pekee mteja anaonekana msumbufu au shetani.Acha kukurupuka!!
Me sirembi matangazo ili kuvutia watu, huwa cpigi mayowe mkuu...sababu naamin wenye uhitaji wa bidhaa bora wataona wenyewe!
By the way wewe sio mteja wala mshauri wa wafanya biashara so pita kushoto hii haikuhusu!!!
Kwa wenzetu mteja ni mungu/ mfalme pia.
Yawezekana nisinunue leo lakini
kuna siku nitahitaji kununua na nitakumbuka maelezo mazuri uliyowahi kunipa.
Mkuu hasira za nini?
Kumbuka unapomjibu mwingine kwa hasira hata mteja mwingine anaogopa kuuliza
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]