Computer4Sale Laptop na Tablet mpyaa kwa bei pouwa: 30% discount

Acha kukurupuka!!
Me sirembi matangazo ili kuvutia watu, huwa cpigi mayowe mkuu...sababu naamin wenye uhitaji wa bidhaa bora wataona wenyewe!

By the way wewe sio mteja wala mshauri wa wafanya biashara so pita kushoto hii haikuhusu!!!
Ndg, mimi ni mfanya biashara mwenzio, nina matangazo zaidi ya 10 tofauti, sijawahi kumjibu mteja vibaya, zaidi huwa nawashukuru. sababu ya kwanza kuwashukuru hususani wale wanao kebehi au kutukana, huwa wana update tangazo langu pasipo wao kujua.

Hawa watu wapo, lakini inapo fikia hatua unaitangazia biashara jamii usiyo kujua inakuangalia kwa jicho la3, lakini pia huwa naamini waleta mizaha au watukanaji wa leo ndiyo wateja wa kesho, usipoteze muda kujibizana na mtu tena usiye mjua, lakini pia costumer care inabidi ionekane katika matangazo yetu. vinginevyo pasipo kujua tutajikuta tuna zitangaza tabia zetu badala ya kutangaza tulicho kikusudia. Nakutakia biashara njema
 
Nimewaelewa Wakuu, acha niwe nabak mpole maana...... asanteni sana kwa ushauri!
 
Hahaahaaa! pole ndugu usipaniki nilikuwa nataka nichukue namba yako nikupigie nipate kununua moja ya bidhaa zako , nimekutana na hii reply.


Ila haina shida hata kama si mnunuzi ama mshauri nitakupigia nije kununua kompyuta.
Hata usiwaze boss haya mengine ni ya JF tu! We karibu anytime hata kuja kuangalia tu bidhaa....
 
Kaka mimi nataka min laptop ya ..haraka sana..iwe na hdd kuanzia 500
 
Mimo hyo tab ya samsung uloipga sh. Ngapi?
 
mkuu,una tablet za windows za bei poa ukiacha surface?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…