Ni Tanzania pekee mteja anaonekana msumbufu au shetani.Acha kukurupuka!!
Me sirembi matangazo ili kuvutia watu, huwa cpigi mayowe mkuu...sababu naamin wenye uhitaji wa bidhaa bora wataona wenyewe!
By the way wewe sio mteja wala mshauri wa wafanya biashara so pita kushoto hii haikuhusu!!!
Kweli mkuu. Na kwa majibu haya hajui ameporeza trust ya watu wangapi. Kauli na lugha na attitude ni daraja kubwa kati ya waliofanikiwa na wasiofanikiwa.Ni Tanzania pekee mteja anaonekana msumbufu au shetani.
Kwa wenzetu mteja ni mungu/ mfalme pia.
Yawezekana nisinunue leo lakini
kuna siku nitahitaji kununua na nitakumbuka maelezo mazuri uliyowahi kunipa.
Mkuu hasira za nini?
Kumbuka unapomjibu mwingine kwa hasira hata mteja mwingine anaogopa kuuliza
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Umenena mkuu;Kweli mkuu. Na kwa majibu haya hajui ameporeza trust ya watu wangapi. Kauli na lugha na attitude ni daraja kubwa kati ya waliofanikiwa na wasiofanikiwa.
Kwa wenzetu hata uonekane msumbufu kiasi gani bado utaeleweshwa na kuelekezwa ipasavyo. Na tafiti zaonyesha wateja wasumbufu wenye maswali mengi na kejeli ndio wahitaji they just want to proove where they are putting their money to is a credible place. Kwa mwendo huu tutabaki kuwa average people.
Ofisi ipo wapi? Unapatikana wapiKweli mkuu?? Sorry aysee...maana text zote huwa tunajibu...nichek 0654776976
Hizo ni zile zilipita kiwandani na kufanyiw manuver flan...Refurbrished zipoje mkuu?
Naomba quotation ya hizo kuna mtu anahitaji na ni serious buyer.LAPTOP.
Brands ni Dell & HP.
Duo Core i5 & Core i7
storage: 500 GB & 1TB
Screen size 15" & 17"
RAM: 6 GB & 8GB
Situmii whatsapp mheshimiwa but sio mbaya, nitampa hiyo namba anayehitaji hiyo laptop! Kama anatumia whatsapp mtawasiliana or else; hamna namna!!!nichek whatsapp 0654776976
tunatuma mkuu...bei ni 600k, nichek 0654776976