Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ndio mkuu inafika, ultrabook tena thinkpad huwa zinauzwa ghali sana.mkuu Chief-Mkwawa hivi kweli hii PC ya huyu ndugu yetu na hizo specification inaweza fika hiyo bei na chaji inakaa only 3 hrs...?
Msaada tafadhali
ndio mkuu inafika, ultrabook tena thinkpad huwa zinauzwa ghali sana.
swali la muhimu unahitaji pc ya namna hio?[/QUOTE
Hapana mkuu Chief-Mkwawa , mimi ya kwangu hii hii Dell inanitosha kwa naweza kufanya yale nayotakiwa kufanya.ndio mkuu inafika, ultrabook tena thinkpad huwa zinauzwa ghali sana.
swali la muhimu unahitaji pc ya namna hio?
Nilitaka uje ili angalau utoe ufafanuzi kwa ni maeneo yako ya kujidai.
ndio mkuu inafika, ultrabook tena thinkpad huwa zinauzwa ghali sana.
swali la muhimu unahitaji pc ya namna hio?
Lenovo ThinkPad X1 Carbon 14in. (Intel Core i5 3rd Gen., 1.8GHz, 4GB) Ultrabook - 20A7CTO1WW | eBayWewe ni muongo.
Lenovo ThinkPad X1 Carbon 14in. (Intel Core i5 3rd Gen., 1.8GHz, 4GB) Ultrabook - 20A7CTO1WW | eBay
Amazon product ASIN B00AE0PHWC
wote amazon na ebay zinauzwa zaidi ya dola 500 hizo laptop, hivyo kabishane nao waambie na wao waongo uwatajie wewe bei yake halisi.
na hapo ni bei used, bei yake mpya kipindi inatoka ilikuwa ni zaidi ya dola 1800 ambayo ni zaidi ya milioni 4 ya kibongo.