Computer4Sale Laptop nauza

Computer4Sale Laptop nauza

517tibet

Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
39
Reaction score
4
Thinkpad ultrabook model x1 carbon
Hard disk SSD 180G
RAM 8Gb
CPU core i5@1.8ghz

Bei ni 900000

Namba yangu 0758478009

807b2d00a154aa38ec3863a076b5ed7c.jpg
 
mkuu Chief-Mkwawa hivi kweli hii PC ya huyu ndugu yetu na hizo specification inaweza fika hiyo bei na chaji inakaa only 3 hrs...?
Msaada tafadhali
 
Hebu acha utani, ukipata elitebook g5 njoo upewe hio hela!
 
mkuu Chief-Mkwawa hivi kweli hii PC ya huyu ndugu yetu na hizo specification inaweza fika hiyo bei na chaji inakaa only 3 hrs...?
Msaada tafadhali
ndio mkuu inafika, ultrabook tena thinkpad huwa zinauzwa ghali sana.

swali la muhimu unahitaji pc ya namna hio?
 
ndio mkuu inafika, ultrabook tena thinkpad huwa zinauzwa ghali sana.

swali la muhimu unahitaji pc ya namna hio?[/QUOTE
ndio mkuu inafika, ultrabook tena thinkpad huwa zinauzwa ghali sana.

swali la muhimu unahitaji pc ya namna hio?
Hapana mkuu Chief-Mkwawa , mimi ya kwangu hii hii Dell inanitosha kwa naweza kufanya yale nayotakiwa kufanya.
Nilitaka uje ili angalau utoe ufafanuzi kwa ni maeneo yako ya kujidai.
 
Lenovo ThinkPad X1 Carbon 14in. (Intel Core i5 3rd Gen., 1.8GHz, 4GB) Ultrabook - 20A7CTO1WW | eBay

Amazon product ASIN B00AE0PHWC
wote amazon na ebay zinauzwa zaidi ya dola 500 hizo laptop, hivyo kabishane nao waambie na wao waongo uwatajie wewe bei yake halisi.

na hapo ni bei used, bei yake mpya kipindi inatoka ilikuwa ni zaidi ya dola 1800 ambayo ni zaidi ya milioni 4 ya kibongo.

Huyo unayehangaika kum-Quote anaelewa hata SSD ni kitu gani?

Vitu vingine puuzia mkuu.
 
Back
Top Bottom