Laptop ni muhimu kwa mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza??

Joram kiango

Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
82
Reaction score
16
Kwa mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza anae chukua bcom in finance ni muhimu awe na laptop??
 
Hahaha, muuliza swali umetisha leo!! mwanafunzi yeyote wa chuo ni sio kua na laptop tu, bali access na internet ya kutosha, tatizo la wanafunzi wa Tanzania ndio linakuja hapo, wanachukulia kusoma ka adhabu vile, au kusoma ni ile kwenda shule unamsikiliza mwalimu unafanya mtihani afu imetoka. Kusoma bna ni kuongeza knowledge, lazima upende kujua kitu kwa undani zaidi hata ya mwalimu wako, lazima upende kujua kitu kulingana na dunia inavokwenda na kujaribu ku-make something new ambacho ni bora zaidi ya hapo, ndivyo wanafunzi wa nje wanavyofanya, yani bongo ni wavivuuuuuu ndio maana last year 95% ya form four walienda chaka, unataka uniambie asilimia yote hiyo ni kua hawana access nzuri na elimu? tena katika hiyo 5% asilimia kubwa ni watoto wa maskini na avarage families, kuna softwares mfano iTunes U, sites kama coursera.org na edx.org wanatoa FULL COURSE mbalimbali tena BURE, na hizi lectures ni kutoka vyuo bora duniani eg. Harvard, MIT, Yale etc.. na nikwambie ukweli, hawa jamaa walifikiria Africa hakuna watu safi ndio maana wakaanzisha hii kitu, ila aibu only 3% ya waliyokwenye hii site wanatoka Africa, 97% wanatoka kwingine. Wewe unasoma finance, kichwani unaweka umalize uende uajiriwe ukae uvae tie, unadhani maisha mepec hivo? soma na course nyingine mfano ukichukua CS50 ya Harvard Intro to Comp Science, ukajifunza programming, unaweza ukatengeneza apps zako mwenyewe ndogondogo za finance since utakua umesoma finance, Usikae ukachoka kusoma ati kisa wewe ni finance ukadhani vingine havina maana, kuuliza hivo inaonyesha kabisa hata uwezo wa computer ni mdogo, nani atakuajiri sasa kama computer hujui? Mimi siku wanafunzi wa Tanzania mkubadilisha ideology zenu kuhusu elimu ntawaona watu wa muhimu sana, kwa njia hii.. ndio maana siku hizi graduates wengi wanaishia doro tu mtaani, kubangaizabangaiza tu
 
Kwa mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza anae chukua bcom in finance ni muhimu awe na laptop??

kompyuta ni muhmu maana kuna vitabu huwezi nunua zaidi ya softcopy ila kama hujiwezi unakua na flash halafu unaazima za watu..japo unajua madhara ya kutegemea vya watu..binafsi 1st year nlikua na flash tu nkajichanga 2nd year nmenunua yangu
 
akhsante mkuu nimejaribuu kujiregister kupata elimu ila vitabu ndo sijui ntavipataje...wanauza bei kubwa afu online ni hadi uwe na VISA card...hili ni tatizo lingine...sijui library za vyuo vyetu hivi vitabuu vitakuwepo
 
kompyuta ni muhmu maana kuna vitabu huwezi nunua zaidi ya softcopy ila kama hujiwezi unakua na flash halafu unaazima za watu..japo unajua madhara ya kutegemea vya watu..binafsi 1st year nlikua na flash tu nkajichanga 2nd year nmenunua yangu

Mawazo ya ki-Afrika Afrika haya! Watu wanatucheka sana! Eti unakuwa na flash tu halafu unagongea kwa wengine! Hiyo nayo imekuwa sigara? Tuache mawazo ya kitindiga haya! Watu mnapewa pesa halafu mnakimbilia Sub hoofer na kunywa pombe, ili laptop mkagongee?! Hapa si ndo mwanzo wa kulaumu watu jamani? TUBADILIKE!
 
Mnatumalizia muda laptop au chochote kinachoweza kukupa uwezo wa kusoma na full access ya internet, uchape kaz yako, uhifadhi notes, someni watoto baba zenu tunatamani enz hz zingekuwa zetu tungegundua kitu kama akina Plato, Max,nk.
 
Kwa mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza anae chukua bcom in finance ni muhimu awe na laptop??

Ni muhimu kuwa na laptop ndugu ktk elimu ya juu. Jitahidi sana, kama utaweza uwe na yako, za kugongea sio nzuri. ILA kama ukishindwa kununua, usiogope kwasababu utasoma tu. Japo utakuwa na changamoto nyingi. Well said Dreson4, umesomeka brother.
 
Last edited by a moderator:
Mnatumalizia muda laptop au chochote kinachoweza kukupa uwezo wa kusoma na full access ya internet, uchape kaz yako, uhifadhi notes, someni watoto baba zenu tunatamani enz hz zingekuwa zetu tungegundua kitu kama akina Plato, Max,nk.

hahaha! Umenichekesha mzee, unataka kuniambia kuwa ili uweze kugundua kitu kama kina Plato et al ni lazima uende shule? Hapana, sio kweli. Hapo mzee ulishindwa mwenyewe tu.
 

soma comment vizuri...nilikua siwezi kununa iyo laptop ikabidi nijichange mpaka 2nd year na for the time being nikagongea kwa flash..halafu usifikiri kila mtu amebahatika kupewa mkopo,wengine bado na shule tunaipenda...sio kila kitu unaponda tu
 
Ni mhimu sana kuwa na laptop siyo kwa mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza tu, bali kuanzia shule ya msingi. Na kwa sasa ni lazima kila nyumba iwe na computer maana huko tuendako matokeo na maendeleo ya mwanafunzi shuleni yatakuwa yanajazwa kwenye website ya kila shule na mzazi atakuwa anaona kila kitu akiwa nyumbani kama mtoto kaingia shule leo au ametoroka, amefanya nini shuleni leo nk.

Pia wengi wenu mnaishia kujaza miziki na movie tu zisizo na tija katika hizo laptop badala ya kuzijaza masomo. Kuna vitabu na video tutorials kwenye mtandao za bure na zisizo na idadi.

Kazi ni kwenu.
 
Mtoa mada kunae thread kama hii humu bana embu jaribu kuitafuta uipitie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…