fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Budget kiasi gani?Wadau wazoefu,nina kijana wangu yupo kidato cha 6,nataka nimnunulie laptop kwa ajili ya matumizi yake,nikizingatia kuwa mwakani anaweza kujiunga na chuo kikuu,je ni laptop ipi,yenye uwezo upi nimnunulie?
200k - 500kBudget kiasi gani?
Matumizi ya kusomea pia?200k - 500k
Big screen
Mkuu nataka ya kuhifadhia data zangu ndogo ndogo tu, emails za kikazi kwa pdf na wordMatumizi ya kusomea pia?
Kwa budget hii fuata ushauri wa hapo juu kusomea ama hata video/image editing kuanzia tafuta intel i5 gen ya 8 minimum, ukitafuta vizuri gen ya 11 pia unapata, ila inabidi utafute sana.
Hizi kazi zako utafaidika na ssd na ram ya kutosha kuliko hata Cpu. Tafuta to modern laptop gen za karibuni hata kama ni i3 ina kutosha ili ikae na chaji zaidi.Mkuu nataka ya kuhifadhia data zangu ndogo ndogo tu, emails za kikazi kwa pdf na word
Kazi ngumu labda ni kudownload na kuangalia movies nikiwa mkoa
300k nichukue aina ipi na sifa zake