Laptop nzuri ni ipi? Nataka ya Tsh. 400,000

Wakuu nawasalimia kwa jina la Yesu

Wale wenzetu waislamu salaam aayqum.

Wakuu ivi kwa mtu anayesomea Bachelor of Science in Business Information Technology anafaa awe na PC gani?

Budget yangu ni 400,000/= je naweza kupata inayoendana na kozi yangu hiyo?

Naombeni ushauri.
Nakupa hii ila duocore ni mashine nzuri sana ram 2gb hdd300 ninazo za kutosha
images%20(30).jpg
IMG-20210713-WA0046.jpg
 
Angalia online zoomTanzania, kupatana, jiji etc, ama nenda kkoo, uhuru, likoma mpaka machinga complex
Mkuu nimechukua Duocore 250hdd,ram 2, battery wameweka mpya ni kwa kusoma tu labda na muvi hv ssd hakuna upgrade hapo au
 
Ssd unaweka sema inabidi utoe hdd kuweka ssd ama uue mlango wa cd ili uweze kutumia hdd na ssd pamoja.
 
Ahaaa basi niliogopa kwamba Duo core Ina uwezo mdogo na vitu vilivyowekwa haviwez badilishwa. Asante
 
Sio lazima, una upgrade kutokana na mahitaji.
Nina swali jingine nina apps kwenye simu yangu zinakuwa na material mengi ya kusoma (mfano wa app ni Teach me anatomy,lecturio n.k) .Shida yangu ni kuwa simu ina screen ndogo hivyo nashindwa kusoma vizur,je naweza tumia njia ipi ili niweze kusoma hivi vitu kwa kutumia pc,, yaani kuna connection au inakuwaje
 
1. Unaweza ukatumia emulator kama Bluestack, Nox player, ld player etc ukainstall hizo app za Android na kusoma kwa pc.

2. Weka windows 11 latest beta build. Weka amazon store toka store ya windows sideload app husika na adb, njia hii kwa sasa ni ngumu kidogo sababu ndo imetoka ila kwa baadae utaweza run app za Android kwenye pc yako.
 
Asante bro nimeingia mtandaoni nimesoma kidogo kuhusu BlueStacks. Sasa technical know how ndo chali. Cha kwanza nidownload BlueStack kwenye pc afu hizo app nazidownload pembeni ila nazifungua kwenye BlueStack au nimekosea. Samahani kwa ujinga wangu
 
Bluestack inakuja na playstore ndani unafungua una sign in na email ya Gmail kisha unadownload apps zako
 
Back
Top Bottom