Laptop nzuri ya Programming budget yangu 2.2M

Sex position gani

  • Doggy

    Votes: 7 77.8%
  • Kifo cha mende

    Votes: 3 33.3%

  • Total voters
    9
Cheki hii
Core i5 11th Generation
8gb ram
350 MX invidia
256gb SSD
 
Mkuu chief nina Ryzen 5 3500U vp ni pc nzuri ambayo naweza ku run games?
 
Mkuu chief nina Ryzen 5 3500U vp ni pc nzuri ambayo naweza ku run games?
3500u sio? Cpu si mbaya mkuu ni Equivalent i5/i7 ya gen ya 10, kwq standard za sasa bado ni ya kisasa.

Gpu nzuri ila sio sana. Ina Vega 8 yenye Computing unit 8. Hii ni Equivalent ya Nvidia 940mx.

Kwa games ambazo sio nzito kama za Mpira ama Magari utacheza kwa full HD, Fifa 22 inacheza 1920x1080 unapata 40fps.

Kwa Games nzito kama Cyberpunk 2077 hata kwa 720p utapata 20 mpaka 30fps.

Hivyo angalia expectation zako kama hujali kucheza games kwa quality ndogo hio machine itacheza karibia game zote kwa 720p

Cheki zaidi hapa

Pia jambo jengine muhimu cpu yoyote ambayo ina gpu ya ndani kama yako inakuwa sensitive na speed ya ram, jinsi unavyoweka ram yenye speed kubwa ndio jinsi ambavyo nguvu ya graphic inaongezeka. Pia ukitumia ram mbili (Dual chanell) unapata nguvu karibia mara 2. Hivyo angalia hapo kama laptop yako ina ram moja ama mbili nafkiri ukiingia task manager then nenda perfomance manager itakuonesha speed ya ram na kama ni single ama dual slot.

 





HP VICTUS RTX 3050ti [emoji2768]
BEI 2,200,000[emoji2768]
GAME ZOTE KAZI YOYOTE YA GRAPHICS HUMU UNATELEZA TU MASHINE YA KAZI BEI OFFER HIYO

Product name
Victus by HP Laptop 16-d0127TX
Microprocessor
Intel[emoji2400] Core[emoji769] i5-11400H (up to 4.5 GHz with Intel[emoji2400] Turbo Boost Technology, 12 MB L3 cache, 6 cores, 12 threads)
Chipset
Intel[emoji2400] HM570
Memory, standard
16 GB DDR4-2933 MHz RAM (2 x 8 GB)
Video graphics
NVIDIA[emoji2400] GeForce RTX[emoji769] 3050 Ti Laptop GPU (4 GB GDDR6 dedicated)
Hard drive
512 GB PCIe[emoji2400] NVMe[emoji769] TLC M.2 SSD
Optical drive
Optical drive not included
Display
16.1" diagonal, FHD (1920 x 1080), IPS, micro-edge, anti-glare, 300 nits, 100% sRGB
Wireless connectivity
Intel[emoji2400] Wi-Fi CERTIFIED 6[emoji769] AX201 (2x2) and Bluetooth[emoji2400] 5 combo (Supporting Gigabit data rate)
Network interface
Integrated 10/100/1000 GbE LAN

WARRANTY 1 year parts and labour limited warranty.

13 month Service Warranty & 7 Days Replacement
[emoji3513] Call us
[emoji3596] [emoji3596] Visit our Shop [emoji3596] [emoji3596]
CONTACT:[emoji336][emoji336][emoji336][emoji344]
0777994369
 
Office depot walikua wanafanya clearence machine ya i3 1005G1 kwa 680,000 mpya, kama unaweza ku Afford.

Otherwise tafuta used same Cpu. Kwa Laki 5 komaa upate angalau gen ya 8 kupanda.
680 parefu Nina hiyo 500 tu.
Je sehemu Gani naweza pata hiyo 8 gen Kwa hapa Dar
 
Je mpya kwa 500 hupati?
Mpya unapata kina Celeron na Ndugu zake not worth it.

500k kwa 8th gen ni ya kutafuta, uhakika 600k ndio unapata gen ya 8 ila ukitafuta sana na kulia sana unaweza pata hadi 500k.

Duka sina uhakika 100% ila angalia Discount kubwa msimbazi pale, Machinga Complex, na Mtaa wa likoma lile jengo linaloangaliziana na benki ya Mkombozi.
 
Machine zao ni za uhakika hao jamaa au tia maji tia maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…