Laptop Used Inahitajika Haraka

Laptop Used Inahitajika Haraka

Ndebile

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
7,745
Reaction score
11,267
Nahitaji kompyuta mpakato yenye sifa zifuatazo:

Brands: Dell au Hp
Processor: Core i3 2.2Ghz au zaidi
Ram: 4gb au zaidi
Hard drive disc: angalau 500gb
Screen size: 15" au zaidi

Ukiwa kanda ya ziwa kwa maana ya Mwanza, Shinyanga, Geita itakuwa poa zaidi
 
Ninayo HP
RAM 4 GB
HDD 500 GB.
Core i7.
Bajet yako kias gan Kwanza?
 
Nahitaji kompyuta mpakato yenye sifa zifuatazo:

Brands: Dell au Hp
Processor: Core i3 2.2Ghz au zaidi
Ram: 4gb au zaidi
Hard drive disc: angalau 500gb
Screen size: 15" au zaidi

Ukiwa kanda ya ziwa kwa maana ya Mwanza, Shinyanga, Geita itakuwa poa zaidi
Ipo sony vio PROESOR 2 DUAL CORE
HDD 1 TB
RAM 4 GB
BETRIE 3 HOURS
SCREEN 15.6 INCH
PRICE 380,000/=
LOCATION MAGU,MWANZA
IMG-20220202-WA0003.jpg

sent from HUAWEI
 
Ukiwa japo na 500,000 nakupa
460,000 niagize mtu wangu aje alipie mkuu...ila hata picha hujaweka mkuu!
Nimekutumia namba ya simu PM kwa ajili ya picha za PC nk
 
Siwez kuchukua hiyo pesa. Picha utazipata
Mkuu una customer care nzuri, hahaha!!...nitumie picha haraka kabla hii pesa sijaipangia matumizi mengine! Pia hujaniambia uwezo wake wa kukaa na chaji pamoja na screen size.
Nakulipa hiyo 500,000/
 
Nahitaji kompyuta mpakato yenye sifa zifuatazo:

Brands: Dell au Hp
Processor: Core i3 2.2Ghz au zaidi
Ram: 4gb au zaidi
Hard drive disc: angalau 500gb
Screen size: 15" au zaidi

Ukiwa kanda ya ziwa kwa maana ya Mwanza, Shinyanga, Geita itakuwa poa zaidi

Habari ya jioni kiongozi, ulipata laptop ulokua unahitaji, kama bado Wasiliana nami nikusaidie tuna chain of Laptops/computer na bei zetu ni nafuu sana.

Tunapatikana DSM na kama utakua na mtu aliyekuwepo huku itakua vzr umunge aje ofisi kuangalia utakayo ipenda na kusimamia utumaji mpaka kufikia ulipo.

Wasiliana nasi Kwa namba 0744698283
 
Karibu sana
 
Mkuu nilipata, Asante sana!
 
Back
Top Bottom