Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Laptop yangu inakula bando balaa natumia window 10 yaani nikiweka afu tatu ndani ya nusu saa imekwisha wakati naingia JF tuu! Nimefunga window update lakini bado tatizo liko pale pale msaada please