lui03152
JF-Expert Member
- Nov 27, 2020
- 266
- 377
Wana ndugu naomba msaada. Nina laptop aina ya hp elite book, nilinunua ya mtumba na haikuwa na shida yoyote but hivi karibui kitufe kimoja cha backspace kimekuwa kinasumbua kwa kikataa kurespond au kinafanya kazi baada ya kubonyezwa kwa nguvu hadi imekuwa kero hasa napokuwa na kazi kubwa.
Naomba wataalamu wa mambo ya komputa mnishauri. Nilipeleka kwa mafundi kama wawili hawakuifungua lakin walishauri ninunue keybord mpya ifungwe.
Naomba kujua kama kuja njia nyingine ya kurekebisha hii ukiacha hii ya kununua keyboard mpya.