Asante mkuu mbali na huu ushauri ulompa basi inabidi anunue keyboard tu.Fanya Key Remapping kwa kutumia KeyTweak.
Kama kuna button huitumii kwenye Keyboard yako download KeyTweak halafu hamisha hiyo backspace kwenye button nyingine. Button kama Shift, Ctrl & Alt zipo mbili-mbili chagua moja hamishia hapo.
Hii ndiyo njia rahisi badala ya kupeleka kwa fundi au kununua Keyboard mpya.
Wanauzaje?Nunua keyboard mkuu, mafundi wako sahihi, yawezekana shida ilianzia kwa first user, afu keyboard ni cheap kulingana na gharama utazotumia kuzunguka kwa mafundi.