Haina kodi.Kuna mwenye ufahamu kuhusu hili, nakumbuka kuna wakati walifuta kodi kwenye kompyuta je iko hivyo kweli?
Kuna wakati niliagiza laptop battery na RAM kutoka amazon nikapigwa kodi je kwa laptop kodi ipo?
Asanteni.
Hapana kodi kwa vifaa vya elimu. Huwa nina nunua toka Amazon hakuna kodi mkuu
Duh hatareeHiyo sheria imeshafutwa..
Kodi kama kawa.. Mi nilishapigwa kodi, halafu ni kubwa kinyama..
Mnapatikana wapi? Au mawasiliano yenu!Tunauza laptop Used, bei mpaka laki na nusu,...
Kiongozi, hebu nipe estimation manake nina shida na iMac lakini kwa bei ya TZ ni pasua kichwa wakati refurb kutoka Apple store, unapata ya maana kabisa kwa USD +1000K.Hiyo sheria imeshafutwa..
Kodi kama kawa.. Mi nilishapigwa kodi, halafu ni kubwa kinyama..
USD 1000k..?? hivi unakijua hiki ulichokiandika au unachangamsha genge tu.??Kiongozi, hebu nipe estimation manake nina shida na iMac lakini kwa bei ya TZ ni pasua kichwa wakati refurb kutoka Apple store, unapata ya maana kabisa kwa USD +1000K.
Naomba mawasiliano yako yangu ni 0625662803Tunauza laptop Used, bei mpaka laki na nusu,...