Unapenda kukuza mambo! Hivi unadhani wengine hawajaona hiyo typing error?!USD 1000k..?? hivi unakijua hiki ulichokiandika au unachangamsha genge tu.??
Okeii ..1000k = 1,000,000 hapo haujazidisha na 2300 kuiconvert kwa pesa madafu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapenda kukuza mambo! Hivi unadhani wengine hawajaona hiyo typing error?!USD 1000k..?? hivi unakijua hiki ulichokiandika au unachangamsha genge tu.??
Okeii ..1000k = 1,000,000 hapo haujazidisha na 2300 kuiconvert kwa pesa madafu.
JK ndo aliondoka kodi kwenye computers, na akawapendelea Bongo Movie (bila kujua hawabebeki) kwa kuwaondolea kodi kwenye cameras! Kwa sasa kodi zote hizo zimerudi!Nijuavyo stationary material material haina kodi,nimeshawah agiza laptop uk 2 yrs ago sikuchajiwa kodi,labda Kama imedilishwa hivi karibuni.