Laptop zina kodi nikiagiza nje?

Laptop zina kodi nikiagiza nje?

USD 1000k..?? hivi unakijua hiki ulichokiandika au unachangamsha genge tu.??
Okeii ..1000k = 1,000,000 hapo haujazidisha na 2300 kuiconvert kwa pesa madafu.
Unapenda kukuza mambo! Hivi unadhani wengine hawajaona hiyo typing error?!
 
Nijuavyo stationary material material haina kodi,nimeshawah agiza laptop uk 2 yrs ago sikuchajiwa kodi,labda Kama imedilishwa hivi karibuni.
JK ndo aliondoka kodi kwenye computers, na akawapendelea Bongo Movie (bila kujua hawabebeki) kwa kuwaondolea kodi kwenye cameras! Kwa sasa kodi zote hizo zimerudi!
 
Back
Top Bottom