lara 1, lara 1, lara 1... Unaumiza mbayaaaaa....!

Mtoto unang'aa kama sato au nyangumi mchanga lol!
 
Kama pete yangu, inakuchomaa kidoleni
ni kama pendo langu , linakuchoma moyonii ,
bora kuitoa aaah aah ,
pendo kulivua aaah ,
bora kuitoa ,
moyoni mwangu mi nisiteseke
bora kuitoa aaah aa ,
pendo kulivua aaah ,
bora kuitoa ,
moyoni mwangu mi nisiteseke

​
 
Afu wewe mie sio mwanao. ntakusemea kwa maxence akupige ban hata mjini usikae.


mamito, huyu mzee anachotaka atavuna. muache aende zake huko, we will take care of our mom. kwanza ntamtaftia maza buzi aende akaishi abroad. namuwazia gwiji wa wake za watu aka Nyani Ngabu:mwaaah:
 
Last edited by a moderator:

HILI MIMI NALIUNGA MKONO!MIGUU!KICHWA !KIUNO!NYWELE!KWAPA na kila kitu!lazima mama ngina tumtafutie jibaba la mujini limpe mahela!mavitu!maraha!jigari la ukweli!amuhamishe na tabata manake mi nishachoka na kesi za huyu mzee
 

Naomba zile picha zake na Ciello tukate mzizi wa fitna,tuwaite na lara 1 na manoah
 
Last edited by a moderator:

Ha ha haaaa!!! Wewe ni mwisho wa matatizo aisee.
 
Dah Wakuuu Kama vile hachezi Kubabuana na wenzake Mchangani au hachezi nje bila kupata kovu? hiyo inaitwa ukiwa naye hatumwi mtoto Dukani au funguo unaitupa nje kwa makusudi tehteh hata Omba omba akipewa pesa kidogo hutaka zaidi mwenye hiyo mali wacha tu azidi kula na kuipigisha mimba.
 
na umesahau sheria ya upande wa pili inayohusu wachunwaji? (kandamisa yote hadi ishindwe kutembea)

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…