Hahahahaaaaaaaaaaaaa! Nitakutafuta bwana! Nashukuru kwa wito!
Hahahahaaaaaaaaaaaaa! Nitakutafuta bwana! Nashukuru kwa wito!
mulugo products @ work
Nimzuri sana namkubali sana! Mwanamke mrembo siku zote hupenda kukutana na watu lakini akili mkichwa maana wakaka nao hatujambo!Mtamsifia Lara1 lakn kuna kifaa kimoja adimu naye si mwingne ni Christine Ibrahm. Huyu mrembo ameumbika sana. Siongei utan npo serious. Kwanza elim ipo pili mtoto kitu natural colour mpaka nywele Hakuna mkorogo......... Vile vile ni.....dah! Acha nisiongee mengi sana. Nataman sana sk moja awe mama watoto wangu
Naomba kukusindikiza maana wewe ulisha sema uko free si mtu wa stress, so ni hilo tu sitaki kuona unadhurika hivi hivi duh! bila mimi usiende!!!!!!!!!!!!Hahahahaaaaaaaaaaaaa! Nitakutafuta bwana! Nashukuru kwa wito!
Nimzuri sana namkubali sana! Mwanamke mrembo siku zote hupenda kukutana na watu lakini akili mkichwa maana wakaka nao hatujambo!
Naamini lala1 ni mzuri japo analalamika lalamika mguu mara nyingi! but naamini kabisa ana mapungufu ya kawaida! big up wadada wote!!!!!!!!!!
wanamsifia lara1 labda kwasababu ya manjonjo ya uandishi...... Lakin naamin wangeletwa wote mbele yenu mngekubaliana na mm kwamba kweli Christine ibrahim n mzuri.......big up christine ( cleopatra wa Jf)