[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbe.
Ngoja nikatafsiri mavyeti yangu ya Russia. BA na MA.
Niachane na kutapeli watu hapa mjini
Mwanamke mwenye domo kabilahii unawezaje kum-"seduce" na mka-"make love" kwa mfano! Anatofauti gani na wanaojiuza Sinza? Halafu namba hii kamwe haoleki.
Bila kujali mahitajio ama gharama ya pesa atakayo mwanamke, wanaume tunapenda sana wenye kauli za staha na viwango kama za Miss Natafuta.
Kauli tu mtu inakunyegeresha hadi unatuma pesa, haijalishi hata kama sura haujiui.
Mwanamke yeyote mwenye lugha laini hufanikiwa sana maishani, bila kujali ulaini wa kauli zake hizo zikawa za hila na kitapeli, kwa wanaume haijalishi.
Kumbe humu jf tuna vyangudoa wa kumwaga! Arrrrrhgh nnndhza!
kuna namna..., iko namna ya kuitoa [emoji23][emoji23]. mchek KLM kwa mbinu kabla sijarusha contacts
Ajira zimeongezeka baada ya wafanyakazi hewa kutumbuliwa.Wapili kucomment.
Mkuu siku izi intavyuu mbili kwa siku kwann
Sawa mkuuAjira zimeongezeka baada ya wafanyakazi hewa kutumbuliwa.
Dah nilijua nikaacha kufanya majumuisho hasubuhi.kumbe ningeambulia hichi?HAHAHAAAA! NAKWAMBIAJE MIMI SINA BAHATI ILA I AM BLASSED! NIMEBARIKIWAAAAAA! Uswahilini wanakwambia mimi kijukuuu cha mtume.
SIJAWAHI NA SITOWAHI KUKOSA KITU MAISHANI MWANGU. UPO? Nilotaka vyeti nimepata vyooote tena nikiwa mdogo sanaaa! Sijawahi rudia darasa. Nimetaka kuzunguka dunia i am not even 30 na tayari nina vitabu vi 2 vya passport kimoja kishajaaa. Na sijawahi pewa hata mia na mzazi au yoyote chukua usafiri.
SIKU NIKISEMA NATAKA MUME, NAKUHAKIKISHIA NITAPATA MUME SIO MNGESE KAMA WEWE MAANA ANAVOANDIKA TU INAONEKANA WASHAKUTATUA RINDA ZOTE ZA AKILI UMEBAKIA MWAAAAAAH! NITAPATA MUME WA CALIBER YANGU KUENDANA NA MATAKWA YANGU MIMI KUBWA LA MAADUI.
HIO NAKIGUARANTEE KABISAAA. NA HAO WANAWAKE WENU NJAA NJAAA WA KIWA ENTERTAIN MUWAPE KUNYA NA KUWAZEESHA TEGETA KKOO SIO MIMI ASILANI! NA NAKEMEA KWA JINA LA YESUUUU KAMWEE SITARUDI MAISHA HAYO KWA DAMU YA YESU ILIOMWAGIKA CALVAHARI. YEYE YESU NDO ALINIPA KIBALI CHA KUTOKA HUKO NA KAMWE SITARUDI.
huwa sielewi mnachofanya more than wasting your timeAsalaam alekhum!
Tumsifu Yesu kristo
Bwana Yesu asifiwe
Mambo!
Huku tukiendelea Na joto la weekend,kwa siku ya Leo,
Tutakuwa nae bibie Lara l.
Tunawakaribisha wote Na mjisikie
Amani Na huru hii ni chitchat forum
Kuanzia saa kumi Na mbili jioni
Lara l atakuwepo hapa.
Asanteni sana.
maswali ninayotaka waniulize sitaki shemele weye uyaulize .. ahahhaaMimi shemela wako?
AhhahahaEndelea kukomesha wambea mkuu!![emoji122] [emoji122]
Shoga angu,umemiss vitu Vingi kumbe. Hii ni funny threads zinaanzishwa kuhojiwa mtu na maisha yake kwa ujumla nje ya Jf.
Oooh. Kumbe.Shoga angu,umemiss vitu Vingi kumbe. Hii ni funny threads zinaanzishwa kuhojiwa mtu na maisha yake kwa ujumla nje ya Jf.
MOTP ndio nanii[emoji23][emoji23][emoji122][emoji122]
Ila MOTP kaokoka like seriously??hallelujah
Ccespy
Heaven Sent