Lara l live interview on DJ sepetu show!!

Lara l live interview on DJ sepetu show!!

Mwanamke kajibu maswali huyu! Amelitawala jukwaa mpaka Miss Natafuta ninayemuaminia kwa vigongo, lakini leo kadatishwa!
 
Mwanamke mwenye domo kabilahii unawezaje kum-"seduce" na mka-"make love" kwa mfano! Anatofauti gani na wanaojiuza Sinza? Halafu namba hii kamwe haoleki.
Bila kujali mahitajio ama gharama ya pesa atakayo mwanamke, wanaume tunapenda sana wenye kauli za staha na viwango kama za Miss Natafuta.
Kauli tu mtu inakunyegeresha hadi unatuma pesa, haijalishi hata kama sura haujiui.
Mwanamke yeyote mwenye lugha laini hufanikiwa sana maishani, bila kujali ulaini wa kauli zake hizo zikawa za hila na kitapeli, kwa wanaume haijalishi.
Kumbe humu jf tuna vyangudoa wa kumwaga! Arrrrrhgh nnndhza!

HAHAHAAAA! NAKWAMBIAJE MIMI SINA BAHATI ILA I AM BLASSED! NIMEBARIKIWAAAAAA! Uswahilini wanakwambia mimi kijukuuu cha mtume.

SIJAWAHI NA SITOWAHI KUKOSA KITU MAISHANI MWANGU. UPO? Nilotaka vyeti nimepata vyooote tena nikiwa mdogo sanaaa! Sijawahi rudia darasa. Nimetaka kuzunguka dunia i am not even 30 na tayari nina vitabu vi 2 vya passport kimoja kishajaaa. Na sijawahi pewa hata mia na mzazi au yoyote chukua usafiri.

SIKU NIKISEMA NATAKA MUME, NAKUHAKIKISHIA NITAPATA MUME SIO MNGESE KAMA WEWE MAANA ANAVOANDIKA TU INAONEKANA WASHAKUTATUA RINDA ZOTE ZA AKILI UMEBAKIA MWAAAAAAH! NITAPATA MUME WA CALIBER YANGU KUENDANA NA MATAKWA YANGU MIMI KUBWA LA MAADUI.

HIO NAKIGUARANTEE KABISAAA. NA HAO WANAWAKE WENU NJAA NJAAA WA KIWA ENTERTAIN MUWAPE KUNYA NA KUWAZEESHA TEGETA KKOO SIO MIMI ASILANI! NA NAKEMEA KWA JINA LA YESUUUU KAMWEE SITARUDI MAISHA HAYO KWA DAMU YA YESU ILIOMWAGIKA CALVAHARI. YEYE YESU NDO ALINIPA KIBALI CHA KUTOKA HUKO NA KAMWE SITARUDI.
 
kuna namna..., iko namna ya kuitoa [emoji23][emoji23]. mchek KLM kwa mbinu kabla sijarusha contacts

Ni zaidi ya kamari na ukila mara moja ujue umeliwa zisizo na idadiiii! Simshauri mtu kabisaaaaa. Ni sawa na kucheza Russian Roullette.
 
HAHAHAAAA! NAKWAMBIAJE MIMI SINA BAHATI ILA I AM BLASSED! NIMEBARIKIWAAAAAA! Uswahilini wanakwambia mimi kijukuuu cha mtume.

SIJAWAHI NA SITOWAHI KUKOSA KITU MAISHANI MWANGU. UPO? Nilotaka vyeti nimepata vyooote tena nikiwa mdogo sanaaa! Sijawahi rudia darasa. Nimetaka kuzunguka dunia i am not even 30 na tayari nina vitabu vi 2 vya passport kimoja kishajaaa. Na sijawahi pewa hata mia na mzazi au yoyote chukua usafiri.

SIKU NIKISEMA NATAKA MUME, NAKUHAKIKISHIA NITAPATA MUME SIO MNGESE KAMA WEWE MAANA ANAVOANDIKA TU INAONEKANA WASHAKUTATUA RINDA ZOTE ZA AKILI UMEBAKIA MWAAAAAAH! NITAPATA MUME WA CALIBER YANGU KUENDANA NA MATAKWA YANGU MIMI KUBWA LA MAADUI.

HIO NAKIGUARANTEE KABISAAA. NA HAO WANAWAKE WENU NJAA NJAAA WA KIWA ENTERTAIN MUWAPE KUNYA NA KUWAZEESHA TEGETA KKOO SIO MIMI ASILANI! NA NAKEMEA KWA JINA LA YESUUUU KAMWEE SITARUDI MAISHA HAYO KWA DAMU YA YESU ILIOMWAGIKA CALVAHARI. YEYE YESU NDO ALINIPA KIBALI CHA KUTOKA HUKO NA KAMWE SITARUDI.
Dah nilijua nikaacha kufanya majumuisho hasubuhi.kumbe ningeambulia hichi?
 
Asalaam alekhum!
Tumsifu Yesu kristo
Bwana Yesu asifiwe
Mambo!

Huku tukiendelea Na joto la weekend,kwa siku ya Leo,
Tutakuwa nae bibie Lara l.

Tunawakaribisha wote Na mjisikie
Amani Na huru hii ni chitchat forum

Kuanzia saa kumi Na mbili jioni
Lara l atakuwepo hapa.
Asanteni sana.
huwa sielewi mnachofanya more than wasting your time
 
I personally know this lady lara 1, she is certainly not what she is telling.

45% yes, 50% no and 5% uncertain.

Kwa hiyo, akili za kuambiwa changanyeni na zenu.
 
Back
Top Bottom