Lara l live interview on DJ sepetu show!!

Lara l live interview on DJ sepetu show!!

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Asalaam alekhum!
Tumsifu Yesu kristo
Bwana Yesu asifiwe
Mambo!

Huku tukiendelea Na joto la weekend,kwa siku ya Leo,
Tutakuwa nae bibie Lara l.

Tunawakaribisha wote Na mjisikie
Amani Na huru hii ni chitchat forum

Kuanzia saa kumi Na mbili jioni
Lara l atakuwepo hapa.
Asanteni sana.
 
Naingia kazi ya ulinzi naacha swali
Hv ashapata kazi tangu amalize chuo.....?.je baada ya kumaliza chuo anaonaje maisha nje ya chuoo..? maana alikua anakashifu sana vyuo vilivyobatizwa vyuo vya kata...
Swala la jira vip linabagua vyuoo??

Pamoja sana team UDSM
 
Swali alishawawahi kupiga mzinga....??? Unapopiga zinga ukachomolewa unajisikiaje Je anaifahanu shuntama alishawahi kuitumia how come kwa aliyepigwa kipapai iko bado wapo nae.....????
 
Tunaendelea bahati nzuri mgeni wetu kaja
Lara l karibu sana
 
Back
Top Bottom