FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Faiza mbona unampa za uso mwenzio? mkaushie....hizi luga zingine ni za watu fulani tu..kiswahili hakiwezi kuzungumzwa na kuandikwa sawasawa kwa wazungumzaji wote .
Ndiyo maana nnawaambia rudini Kiswahili kilipoanzia kuandikwa, ilikuwa ni kwa herufi za Kiarabu, hakutakuwa na makosa kama haya.