Faiza mbona unampa za uso mwenzio? mkaushie....hizi luga zingine ni za watu fulani tu..kiswahili hakiwezi kuzungumzwa na kuandikwa sawasawa kwa wazungumzaji wote .
@he Tomorrow People
Alafu hyo avatar yko huyo msichana nilkua nampenda sna kwenye series ya Tomorrow People"
Umetumia vigezo gani
Viorozeshe
Ndiyo maana nnawaambia rudini Kiswahili kilipoanzia kuandikwa, ilikuwa ni kwa herufi za Kiarabu, hakutakuwa na makosa kama haya.
Ina mana hana mume?
hahahaha dada faiza huo mstari wa mwisho huwa unanikosha sana
hahaa
Unamshusha hadhi Oprah
Mimi nimeelewa ndiyo maana nikaurekebisha nisingeelewa nisingkurekebisha. Unapobadili "L" na "R" unaondoa ladha ya maandiko yako na si vyema kubadilisha ID au jina la mtu.FaizaFoxy cha msingi si umeelewa...
Kwani Lala1 mropokaji?
Udaku lala1 hana, usimsingiziePia Oprah sio mdaku
@he Tomorrow People
Alafu hyo avatar yko huyo msichana nilkua nampenda sna kwenye series ya Tomorrow People"
Hapana aiseeMange kimambi