lara1

lara1

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
18,585
Reaction score
16,780
whats up mdada...
uko poa? hebu pokea salamu zangu...
my name is kiwatengu!! from mtwara..al villages! lara 1 today i was think abt u...
heeeh! i'm not mistaken kupost hapa..
with no reason...copy to.. Arushaone, charminglady, Filipo + all cc
 
Last edited by a moderator:
Mwisho wa mwezi una mambo. Just singing

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
today! i remember alot of things... hadi enzi zile nikiwa kijana wa mambo ya elimu.. mwl gfsonwin hujaingia kwenye kamati ya pinda?
 
Last edited by a moderator:
Lara 1 amekwenda kitchen party ya rafiki yake akirudi lazima aje kupokea masalamu yake.
 
Hicho kingreza kimemkimbiza. Bora ungeandika kiswahili tu watu wakakuelewa.
 
lara 1 hawezi sogea kwenye hii thread maana yupo kwenye kwaresmaaaa!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa ninavyomfahamu @lara1, mashahiri yako hayajatosha! Kajipange upya!
 
Una uwezo wa kumnunulia IST..? lara 1 yuko juu.. Ucije ukauza nyumba ya urithi bureeee..
 
Last edited by a moderator:
ivi kwani niyakihuni?? mbona mi namweshimu sana lara 1. mkuu watu8! kuna kitu ambacho hakiendi sawa hapa?

Hahaha hapana mkuu kila kitu hapa iko poa kabisa....ila bi dada ndio kajipa likizo ya muda
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom