Largest African Economies 2017, IMF

Largest African Economies 2017, IMF

IMF world economic outlook April 2017

1. Nigeria : $400.6 BN
2. Egypt : $332.3 BN
3. S Africa : $317.5 BN
4. Algeria : $173.9 BN
5. Angola : $122.3 BN

6. Sudan : $115.8 BN
7. Morocco: $105.6 BN
8. Ethiopia: $78.3 BN
9. Kenya : $75.0 BN
10. Libya : $54.4 BN

11. Tanzania: $51.1 BN
12. Ghana : $42.7 BN
13. DR Congo : $41.0 BN
14. Tunisia : $40.2 BN
15. Ivory Coast : $36.8 BN
hii umeitoa wapi mbona web ya imf haionekani? unaweza kutupatia link.
 
Dunia haina usawa kabisa jamani[emoji22] [emoji22] [emoji22]Bill Gate pekee yake ana USD B-87.2 sisi nchi nzima tupo kwenye 51?!!!!
 
Nasubiri malengo ya 2025 kuingia uchumi wa kati ,wakati wengine wanaunusia utajiri kwa karibu, namshangaa mtz mwenzangu ambae hafanyi kazi amekalia maneno wkat hali ni mbaya
 
IMF world economic outlook April 2017

1. Nigeria : $400.6 BN
2. Egypt : $332.3 BN
3. S Africa : $317.5 BN
4. Algeria : $173.9 BN
5. Angola : $122.3 BN

6. Sudan : $115.8 BN
7. Morocco: $105.6 BN
8. Ethiopia: $78.3 BN
9. Kenya : $75.0 BN
10. Libya : $54.4 BN

11. Tanzania: $51.1 BN
12. Ghana : $42.7 BN
13. DR Congo : $41.0 BN
14. Tunisia : $40.2 BN
15. Ivory Coast : $36.8 BN
Leta link
 
if there about 1mil people living in kibera hapa nyumban Food security tuliyonayo si Ya kuridhisha ukienda Congo upatikanaji wa huduma za Afya ni mtihan hii inamaana chumi zetu zinakuwa kwenye sekta zisizo na mchango wa moja kwa moja na watu wake na still tutaanza Tambiana on these numbers
 
Ni vigezo vingi sana vinazingatiwa, si kibera tu. hahaa.
 
Back
Top Bottom