kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Kila mchezaji ana umuhimu wake tofauti katika hao wawili.......Kiwango ambacho anaendelea kukionyesha mchezaji Larry Bwalya kinauweka katika majaribu Ufalme wa 'MVP' Chama. Iwapo ataendelea katika kiwango hiki...swali la kujiuliza anaweza kuupoka Ufalme wa Chama katika Dimba la Kati?
Umeandika vyema, Hoja hapa kiwango cha Bwalya siku za karibuni kimekuwa cha juu mno. Refer mechi na Fc Platinum na hii ya Al Hilal. Sasa Ufalme wa Chama hapo Msimbazi iwapo ataendelea hivi unaingia majaribuni.Chama atabaki kuwa Chama na Bwalya atabaki kuwa Bwalya...
Chama sio mtu wa kawaida sioni namna yoyote ya kupoteza ufalme wake simba kama akiendelea kuwepo tutapendekeza kwa boss Mo huyu jamaa tumjengee sanamu pale Mo simba arena kumuenzi mile
Duh...! Haya yanaitwa mahaba niue. S.S.C inao wachezaji nguli waliowahi kufanya maajabu uwanjani.Watu kama Mohamed Mwameja,Iddi Pazi,Amani Masha,'Golden Boy'Mogella na wengine wengi...Sasa kama issue ya sanamu inabidi kuwe na mchakato ni nani ni mchezaji wa Simba mwenye ubora kwa muda wote...!Chama sio mtu wa kawaida sioni namna yoyote ya kupoteza ufalme wake simba kama akiendelea kuwepo tutapendekeza kwa boss Mo huyu jamaa tumjengee sanamu pale Mo simba arena kumuenzi milele
Kwani amesha sajiliwa?Kiwango ambacho anaendelea kukionyesha mchezaji Larry Bwalya kinauweka katika majaribu Ufalme wa 'MVP' Chama. Iwapo ataendelea katika kiwango hiki...swali la kujiuliza anaweza kuupoka Ufalme wa Chama katika Dimba la Kati?
Bwalya yupo vizuri ndugu wote yeye na ndugu yake Chama wanakiwasha na wanaelewana sana uwanjani mpaka msimu ukiisha na wote wakiwa kwenye form zao, kupata mchezaji bora itakua kizungumkuti. Bwalya ana balaa lake, Chama alichomzidi Bwalya yeye ni mkongwe tayari Simba.Chama atabaki kuwa Chama na Bwalya atabaki kuwa Bwalya...
Mwee !!Kwani amesha sajiliwa?
Yanga walipanda ndege kumfuata Kitwe, Kumbe Simba washamleta Dar kusinya Msimbazi. Alishasajiliwa kipindi kile dirisha kubwa... !Kwani amesha sajiliwa?
Hao waliifikisha wapi Simba? I mean nataka mafanikio makubwa kimataifa enzi za hao jamaa unaowataja, tuache utani zamani wachezaji walikuwa wavivu sana kuliko siku hizi!Duh
Duh...! Haya yanaitwa mahaba niue. S.S.C inao wachezaji nguli waliowahi kufanya maajabu uwanjani.Watu kama Mohamed Mwameja,Iddi Pazi,Amani Masha,'Golden Boy'Mogella na wengine wengi...Sasa kama issue ya sanamu inabidi kuwe na mchakato ni nani ni mchezaji wa Simba mwenye ubora kwa muda wote...!
Ulitaka chama awe mfalme milele?Umeandika vyema, Hoja hapa kiwango cha Bwalya siku za karibuni kimekuwa cha juu mno. Refer mechi na Fc Platinum na hii ya Al Hilal. Sasa Ufalme wa Chama hapo Msimbazi iwapo ataendelea hivi unaingia majaribuni.
Achana na hatua ya makundi, Simba hii hii huko nyuma imeshawahi fika fainali Kombe la shirikisho...sina hakika kipindi hicho ulikuwa wapi?Hao waliifikisha wapi Simba? I mean nataka mafanikio makubwa kimataifa enzi za hao jamaa unaowataja, tuache utani zamani wachezaji walikuwa wavivu sana kuliko siku hizi!