Larry Bwalya anauweka majaribuni Ufalme Chama..!

Kipindi hicho mfadhili ni Azim Dewji baba yake Mo Dewji...hawa wana damu ya Simba
 
Achana na hatua ya makundi, Simba hii hii huko nyuma imeshawahi fika fainali Kombe la shirikisho...sina hakika kipindi hicho ulikuwa wapi?
Mwaka gani ?

Ikipendeza weka source ya habari yako, kumbe source ya kuaminika
 
Source ya nini haya ni mambo kumbukumbu kwamba kipindi hicho ulikuwepo au haukuwepo?
We mwaka 1993 ulikuwa wapi?
Kijijini kwetu

Kama hakuna chanzo cha hiyo kumbukumbu basi habari ya uongo maana mpaka habari za kina yesu zimeandikwa sembuse timu kufika fainali? Tena 1993???
 
Basi ichukue hiyo na uanze kuichimba mwaka 1993 S.S.C ilitinga fainali na Stella Abdjan ya Ivory Coast na kupoteza.
Simkumbuki vizuri Yule mchezaji aliyetutia Adabu sijui Bongozozo au Bolizozo
 
Achana na hatua ya makundi, Simba hii hii huko nyuma imeshawahi fika fainali Kombe la shirikisho...sina hakika kipindi hicho ulikuwa wapi?
1993 hiyo,zama hizo likiitwa kombe la CAF.
Fainali vs Stella Abidjan.Tulisuluhu kwao tukaja kufa shamba la bibi.
Mwameja,Kasongo,Masatu,Aswile,Idd Selemani,Marsha,Malota,Chumila ni baadhi ya nyota ninaowaumbuka.
 
Dah..! Simba hiyo ndani walikuwepo Mbuyi Yondani(Baba yake Kelvin) Mohamed Mwameja, Kasongo Athumani, Ramadhani Lenny, Mavumbi Omar, Edward Chumila na Wengine. Wengi ni wachezaji wazawa. Umekumbusha mbali kweli..! 1993
 
Hapo kwa Mavumbi Omary sidhani.
 
Basi ichukue hiyo na uanze kuichimba mwaka 1993 S.S.C ilitinga fainali na Stella Abdjan ya Ivory Coast na kupoteza.
Simkumbuki vizuri Yule mchezaji aliyetutia Adabu sijui Bongozozo au Bolizozo
Kabla ya kuanza michuano hii Simba ilienda kupiga kambi Ufaransa, jiji la Nice. Wakati huohuo hapa Bongo kulikua na nyembe/wembe fulan hivi zilikua zikiitwa Nice ndo zilikua zikitamba (Ukiacha Topaz). Basi ikawa utani kiua Simba wamekuja na Wmbe wa Nice ambao unakata kila kitu, maana kila aliekutana Simba those days alikua akichezea kichapo tu.

(Inasemekana) kama sio Mfadhili Azim Dewji kuona ataingia hasara ya kutoa zawadi ya KIA (Chai Maharage) 30 alizoahid kama zawadi endapo Simba wangechukua Ubingwa huo akaamua kuhonga wachache wafungishe ingekua historia leo kua Simba ishawahi kutwaa Ubingwa wa Africa.
 
Huyo azim walishindwa nini kumuua maana hana faida kabisa kwa klabu ya simba
 
Dah..! Simba hiyo ndani walikuwepo Mbuyi Yondani(Baba yake Kelvin) Mohamed Mwameja, Kasongo Athumani, Ramadhani Lenny, Mavumbi Omar, Edward Chumila na Wengine. Wengi ni wachezaji wazawa. Umekumbusha mbali kweli..! 1993
Mbuyi siyo babake Kelvin, ni babake mdogo.
 
Back
Top Bottom