kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
- Thread starter
- #21
Kipindi hicho mfadhili ni Azim Dewji baba yake Mo Dewji...hawa wana damu ya Simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka gani ?Achana na hatua ya makundi, Simba hii hii huko nyuma imeshawahi fika fainali Kombe la shirikisho...sina hakika kipindi hicho ulikuwa wapi?
Source ya nini haya ni mambo kumbukumbu kwamba kipindi hicho ulikuwepo au haukuwepo?Mwaka gani ?
Ikipendeza weka source ya habari yako, kumbe source ya kuaminika
Kijijini kwetuSource ya nini haya ni mambo kumbukumbu kwamba kipindi hicho ulikuwepo au haukuwepo?
We mwaka 1993 ulikuwa wapi?
Basi ichukue hiyo na uanze kuichimba mwaka 1993 S.S.C ilitinga fainali na Stella Abdjan ya Ivory Coast na kupoteza.Kijijini kwetu
Kama hakuna chanzo cha hiyo kumbukumbu basi habari ya uongo maana mpaka habari za kina yesu zimeandikwa sembuse timu kufika fainali? Tena 1993???
1993 hiyo,zama hizo likiitwa kombe la CAF.Achana na hatua ya makundi, Simba hii hii huko nyuma imeshawahi fika fainali Kombe la shirikisho...sina hakika kipindi hicho ulikuwa wapi?
Bolizozo huyo ndio alitulaza mapema mkuu.Basi ichukue hiyo na uanze kuichimba mwaka 1993 S.S.C ilitinga fainali na Stella Abdjan ya Ivory Coast na kupoteza.
Simkumbuki vizuri Yule mchezaji aliyetutia Adabu sijui Bongozozo au Bolizozo
Na wewe lazma u andika. Wavaa midela bhanaHa haaaaaaaaaa.......Mikia fc buana.
Dah..! Simba hiyo ndani walikuwepo Mbuyi Yondani(Baba yake Kelvin) Mohamed Mwameja, Kasongo Athumani, Ramadhani Lenny, Mavumbi Omar, Edward Chumila na Wengine. Wengi ni wachezaji wazawa. Umekumbusha mbali kweli..! 1993
Mwaka 93 fainali na Stella ya Ivory coast wakati huo kulikuwa haliitwi kombe la ShirikishoMwaka gani ?
Ikipendeza weka source ya habari yako, kumbe source ya kuaminika
Maneno yanaishi, usiandike usichokijua,Kipindi hicho mfadhili ni Azim Dewji baba yake Mo Dewji...hawa wana damu ya Simba
Kabla ya kuanza michuano hii Simba ilienda kupiga kambi Ufaransa, jiji la Nice. Wakati huohuo hapa Bongo kulikua na nyembe/wembe fulan hivi zilikua zikiitwa Nice ndo zilikua zikitamba (Ukiacha Topaz). Basi ikawa utani kiua Simba wamekuja na Wmbe wa Nice ambao unakata kila kitu, maana kila aliekutana Simba those days alikua akichezea kichapo tu.Basi ichukue hiyo na uanze kuichimba mwaka 1993 S.S.C ilitinga fainali na Stella Abdjan ya Ivory Coast na kupoteza.
Simkumbuki vizuri Yule mchezaji aliyetutia Adabu sijui Bongozozo au Bolizozo
Huyo azim walishindwa nini kumuua maana hana faida kabisa kwa klabu ya simbaKabla ya kuanza michuano hii Simba ilienda kupiga kambi Ufaransa, jiji la Nice. Wakati huohuo hapa Bongo kulikua na nyembe/wembe fulan hivi zilikua zikiitwa Nice ndo zilikua zikitamba (Ukiacha Topaz). Basi ikawa utani kiua Simba wamekuja na Wmbe wa Nice ambao unakata kila kitu, maana kila aliekutana Simba those days alikua akichezea kichapo tu.
(Inasemekana) kama sio Mfadhili Azim Dewji kuona ataingia hasara ya kutoa zawadi ya KIA (Chai Maharage) 30 alizoahid kama zawadi endapo Simba wangechukua Ubingwa huo akaamua kuhonga wachache wafungishe ingekua historia leo kua Simba ishawahi kutwaa Ubingwa wa Africa.
Duh...mjomba umeenda mbali sana....! Hakuna mwenye kudhibitisha izo hadithi ilikuwa rumours tu.Huyo azim walishindwa nini kumuua maana hana faida kabisa kwa klabu ya simba
Mbuyi siyo babake Kelvin, ni babake mdogo.Dah..! Simba hiyo ndani walikuwepo Mbuyi Yondani(Baba yake Kelvin) Mohamed Mwameja, Kasongo Athumani, Ramadhani Lenny, Mavumbi Omar, Edward Chumila na Wengine. Wengi ni wachezaji wazawa. Umekumbusha mbali kweli..! 1993
Maneno yanaishi, usiandike usichokijua,
Azim Dewji SIO baba yake Mo Dewji
Sasa na nyie mbona mnakomaza shingo....! Baba sio lazima awe mzazi ...!Mbuyi siyo babake Kelvin, ni babake mdogo.
Ukisema baba bila kusema chochote ni mzazi huyo.Sasa na nyie mbona mnakomaza shingo....! Baba sio lazima awe mzazi ...!
Kalinyo huyu mcheza baikoko?na siso watu wa sarpong na calinhos tuna comment wapi