Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Larry, kupitia mitandao ya kijamii amekuja kujibu madai ya Msigwa kuwa CNN hawakuishirikisha serikali ya Tyanzania katika ripoti waliyoiandaa ikielezea matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi.
Amesema wameongeza maneno kwenye ripoti yao kuthibitisha kuwa CNN iliwatafuta serikali ya Tanzania lakini hawakupata majibu;
" Msemaji Mkuu wa serikali ya Tanzania alidai kwamba CNN haikumshirikisha tukiandaa ripoti yetu ili atoe upande wa serikali, tumeongeza maneno hayo katika ripoti yetu na pia tumeongeza sentensi hii ambayo nitaitafsiri kwa Kiswahili - CNN ilituma maswali kwake yeye mwenyewe Gerson Msigwa, kwa Wizara ya Afya na kwa Polisi na hatukupata majibu."