Nakuja.Lucas Mwashambwa na genge lako mnaitwa huku😂😂
Wanaumwa kuharisha machawa woteLucas Mwashambwa na genge lako mnaitwa huku😂😂
Mjinga sana huyu mtu!Lucas Mwashambwa na genge lako mnaitwa huku[emoji23][emoji23]
CNN hawahitaji hata kuhangaika na hao mazafakas. We already knew that they weren’t going to make themselves available to face questions that they couldn’t faithfully and comfortably answer.Larry, kupitia mitandao ya kijamii amekuja kujibu madai ya Msigwa kuwa CNN hawakuishirikisha serikali ya Tyanzania katika ripoti waliyoiandaa ikielezea matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi.
Amesema wameongeza maneno kwenye ripoti yao kuthibitisha kuwa CNN iliwatafuta serikali ya Tanzania lakini hawakupata majibu;
" Msemaji Mkuu wa serikali ya Tanzania alidai kwamba CNN haikumshirikisha tukiandaa ripoti yetu ili atoe upande wa serikali, tumeongeza maneno hayo katika ripoti yetu na pia tumeongeza sentensi hii ambayo nitaitafsiri kwa Kiswahili - CNN ilituma maswali kwake yeye mwenyewe Gerson Msigwa, kwa Wizara ya Afya na kwa Polisi na hatukupata majibu."
View attachment 3507028
Wasubiri ICC tuLarry, kupitia mitandao ya kijamii amekuja kujibu madai ya Msigwa kuwa CNN hawakuishirikisha serikali ya Tyanzania katika ripoti waliyoiandaa ikielezea matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi.
Amesema wameongeza maneno kwenye ripoti yao kuthibitisha kuwa CNN iliwatafuta serikali ya Tanzania lakini hawakupata majibu;
" Msemaji Mkuu wa serikali ya Tanzania alidai kwamba CNN haikumshirikisha tukiandaa ripoti yetu ili atoe upande wa serikali, tumeongeza maneno hayo katika ripoti yetu na pia tumeongeza sentensi hii ambayo nitaitafsiri kwa Kiswahili - CNN ilituma maswali kwake yeye mwenyewe Gerson Msigwa, kwa Wizara ya Afya na kwa Polisi na hatukupata majibu."
View attachment 3507028
Kumbe CNN ni ya Marekani? Tumekwisha.Larry, kupitia mitandao ya kijamii amekuja kujibu madai ya Msigwa kuwa CNN hawakuishirikisha serikali ya Tyanzania katika ripoti waliyoiandaa ikielezea matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi.