Larry Madowo akutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

Larry Madowo akutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mwandishi wa Shirika la Habari la Kimataifa (CNN), Larry Madowo, amekutana na Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwenye Mkutano wa Global Partnership Education (GPE) uliofanyika Jiji la New York Marekani, ambapo Dkt. Kikwete ndiye Mwenyekiti wa Bodi ya GPE


1790328541309.png
 
tetesi za kunyimwa visa zimeingia mchanga, malala bado yupo kwenye global stage
 
Back
Top Bottom