Mwandishi wa Shirika la Habari la Kimataifa (CNN), Larry Madowo, amekutana na Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwenye Mkutano wa Global Partnership Education (GPE) uliofanyika Jiji la New York Marekani, ambapo Dkt. Kikwete ndiye Mwenyekiti wa Bodi ya GPE