Kwa Afrika ukidai haki zako ni hiyana tayari,ukipaza sauti kukemea maovu ya serikali ni hiyana tayari,ukiexercise haki zako za kikatiba ni hiyana tayari,ukiwa mpinzani ambapo ni haki yako kikatiba na upinzani upo kwa mujibu wa katiba ni hiyana tayari na kadhalika.
Linapokuja suala la kutetea haki za watu na utawala bora hakuna option.Lazima kila mmoja wetu ikiwa ni pamoja na wewe wakatae dhuluma dhidi ya haki za binadamu,katiba na utawala bora.Chagua kati ya wawili haya. Kuwa muAfrika au hapana.
Hata kuna mmoja alisema... it's very tough to be a gay in Africa. Everything is embedded in culture. Do push something which is not in society.
Linapokuja suala la kutetea haki za watu na utawala bora hakuna option.Lazima kila mmoja wetu ikiwa ni pamoja na wewe wakatae dhuluma dhidi ya haki za binadamu,katiba na utawala bora.
Mila na desturi ambazo hazifai katika jamii zinapaswa kupingwa na kila mtu kama vile tunavyopinga mila na desturi ya kukeketa wanawake na mpaka sasa hivi tumefanikiwa pakubwa sana.Mila na desturi mbaya siyo msaafu kwamba haziwezi kupingwa,kukataliwa au kubadilishwa.Hivyo vyote vinajengwa juu ya msingi wa mila na desturi. Ukilazimisha kitu ambacho siyo kawaida ya jamii fulani, hilo jambo halita fanikiwa. Ni sawa uende Uarabuni ukalazimisha wanawake wagombee urais. Hilo halita wezekana, maana mila zao haziruhusu. Unfortunately, Afrika kila kitu kikija ni kukimeza kizima kizima. Bila hata kutafakari kama jamii inaendana na hilo. Nawakubali sana wachina kwa namna wanavyoshughulikia mambo yao. Hawaruhusu kuingiliwa kusiko na mipaka. Tofauti na Afrika, ambako kila mmoja anajiona ana haki ya kutuambia do's and don'ts. Matokeo yake confusions.
Mila na desturi ambazo hazifai katika jamii zinapaswa kupingwa na kila mtu kama vile tunavyopinga mila na desturi ya kukeketa wanawake na mpaka sasa hivi tumefanikiwa pakubwa sana.Mila na desturi mbaya siyo msaafu kwamba haziwezi kupingwa,kukataliwa au kubadilishwa.
Mila na desturi zinazogandamiza utu wa mtu kama vile uongozi unaokanyaga kanyaga katiba,demokrasia,haki za binadamu pamoja na utawala bora zinapaswa kupingwa na kila mtu ikiwa ni pamoja na wewe kama vile tunavyopinga na kukemea mila na desturi za ukeketaji dhidi ya wanawake.
Wanalazimisha mawazo ambayo siyo chaguo la wengi kivipi wakati kipindi cha tume ya warioba wananchi walio wengi walitoa maoni yao kuwa wanataka katiba mpya kwa kuwa hii katiba ya zamani ina mapungufu mengi?Kuna mila za kudumishwa, lkn pia za kukemewa. Shida ya waumini wa katiba mpya wanaona katiba iliopo na utaratibu wa maisha kwa ujumla ni mbovu. Wanaponda na kukejeli kila kitu kilichopo. Wenyewe wanahisi tumepotea na hakuna tunalolielewa kama nchi. Wanalazimisha mawazo ambayo siyo chaguo la wengi.
Wanalazimisha mawazo ambayo siyo chaguo la wengi kivipi wakati kipindi cha tume ya warioba wananchi walio wengi walitoa maoni yao kuwa wanataka katiba mpya kwa kuwa hii katiba ya zamani ina mapungufu mengi?
Nikikuuliza maswali yangu unahama na kuja na topic mpya badala ya kujibu maswali.Hapo juu umedai kuwa wanaodai katiba wanalazimisha mawazo ambayo siyo chaguo la wengi na nilipokuuliza siyo chaguo la wengi kivipi wakati katika tume ya warioba wananchi walio wengi walitaka katiba mpya?Badala ya kujibu swali hili unahama na kuja na topic mpya.Unaandika vitu ambavyo huna uhakika navyo?Unanipotezea muda wangu?Do you real worth my time?Watu wanaweza kuwa wanapenda katiba mpya, lkn shida ikawa ni aina ya watu ambao wamejiingiza na kuanzisha hilo vuguvugu. Ni aina ya watu ambao hawaaminiki. Unaweza usifurahi kusikia hilo, lkn ndiyo ukweli.