Larry Madowo gets Promoted to International Correspondent months after joining CNN

Kwa Afrika ukidai haki zako ni hiyana tayari,ukipaza sauti kukemea maovu ya serikali ni hiyana tayari,ukiexercise haki zako za kikatiba ni hiyana tayari,ukiwa mpinzani ambapo ni haki yako kikatiba na upinzani upo kwa mujibu wa katiba ni hiyana tayari na kadhalika.

Chagua kati ya wawili haya. Kuwa muAfrika au hapana.
Hata kuna mmoja alisema... it's very tough to be a gay in Africa. Everything is embedded in culture. Do push something which is not in society.
 
Linapokuja suala la kutetea haki za watu na utawala bora hakuna option.Lazima kila mmoja wetu ikiwa ni pamoja na wewe wakatae dhuluma dhidi ya haki za binadamu,katiba na utawala bora.
 
Hivyo vyote vinajengwa juu ya msingi wa mila na desturi. Ukilazimisha kitu ambacho siyo kawaida ya jamii fulani, hilo jambo halita fanikiwa. Ni sawa uende Uarabuni ukalazimisha wanawake wagombee urais. Hilo halita wezekana, maana mila zao haziruhusu. Unfortunately, Afrika kila kitu kikija ni kukimeza kizima kizima. Bila hata kutafakari kama jamii inaendana na hilo. Nawakubali sana wachina kwa namna wanavyoshughulikia mambo yao. Hawaruhusu kuingiliwa kusiko na mipaka. Tofauti na Afrika, ambako kila mmoja anajiona ana haki ya kutuambia do's and don'ts. Matokeo yake confusions.
 
Mila na desturi ambazo hazifai katika jamii zinapaswa kupingwa na kila mtu kama vile tunavyopinga mila na desturi ya kukeketa wanawake na mpaka sasa hivi tumefanikiwa pakubwa sana.Mila na desturi mbaya siyo msaafu kwamba haziwezi kupingwa,kukataliwa au kubadilishwa.

Mila na desturi zinazogandamiza utu wa mtu kama vile uongozi unaokanyaga kanyaga katiba,demokrasia,haki za binadamu pamoja na utawala bora zinapaswa kupingwa na kila mtu ikiwa ni pamoja na wewe kama vile tunavyopinga na kukemea mila na desturi za ukeketaji dhidi ya wanawake.
 
Kuna mila za kudumishwa, lkn pia za kukemewa. Shida ya waumini wa katiba mpya wanaona katiba iliopo na utaratibu wa maisha kwa ujumla ni mbovu. Wanaponda na kukejeli kila kitu kilichopo. Wenyewe wanahisi tumepotea na hakuna tunalolielewa kama nchi. Wanalazimisha mawazo ambayo siyo chaguo la wengi. Pia hawajajielekeza kueleza changamoto za mfumo na katika uliopo ni nini, pia kueleza nini kifanyike ili tupate mifumo na muongozo bora. Wenyewe wamegeuka wana harakati wa kupotosha umma, kutukana viongozi, kushawishi vurugu, kutishia viongozi. Watu ambao wanadhani wako sahihi kuongoza suala hili, ndiyo Waharibifu wakubwa wa jambo hili. Mimi binafsi sifurahii kuona suala la katiba linaporwa na wanasiasa ambao mara nyingi hawako sawa. Wao mara nyingi wamekuwa wakinaswa na mtego wa huba na chuki dhidi wa mambo fulani. Wakipewa wana siasa huu mchakato. Tusitegemee kupata kitu chenye mafaa kwa wote. Kitakuwa na mlengo fulani tu.
 
Kuna mila za kudumishwa, lkn pia za kukemewa. Shida ya waumini wa katiba mpya wanaona katiba iliopo na utaratibu wa maisha kwa ujumla ni mbovu. Wanaponda na kukejeli kila kitu kilichopo. Wenyewe wanahisi tumepotea na hakuna tunalolielewa kama nchi. Wanalazimisha mawazo ambayo siyo chaguo la wengi.
Wanalazimisha mawazo ambayo siyo chaguo la wengi kivipi wakati kipindi cha tume ya warioba wananchi walio wengi walitoa maoni yao kuwa wanataka katiba mpya kwa kuwa hii katiba ya zamani ina mapungufu mengi?
 
Watu wanaweza kuwa wanapenda katiba mpya, lkn shida ikawa ni aina ya watu ambao wamejiingiza na kuanzisha hilo vuguvugu. Ni aina ya watu ambao hawaaminiki. Unaweza usifurahi kusikia hilo, lkn ndiyo ukweli.
 
Nikikuuliza maswali yangu unahama na kuja na topic mpya badala ya kujibu maswali.Hapo juu umedai kuwa wanaodai katiba wanalazimisha mawazo ambayo siyo chaguo la wengi na nilipokuuliza siyo chaguo la wengi kivipi wakati katika tume ya warioba wananchi walio wengi walitaka katiba mpya?Badala ya kujibu swali hili unahama na kuja na topic mpya.Unaandika vitu ambavyo huna uhakika navyo?Unanipotezea muda wangu?Do you real worth my time?
 
Back
Top Bottom