Kulinda waharifu elfu mbili dhidi ya raia wema milion sitini!? Hilo fuvu hapo juu limebeba tunachokijua kweli? Hata hao CNN sijaona kwenye documentary yao kuonesha hata sheri moja ikiungua wao wamechukua video mbili tatu Tu! Maana wanachokitaka sote tunakijuwa...pachafuke halafu waingize mercenaries tuwe kama Congo au Libya