Larry Madowo is not an Investigative journalist, he is just business and economic reporter!

Larry Madowo is not an Investigative journalist, he is just business and economic reporter!

Una hakina unajua
Through commercial Google Map you can obtain those images. Why he did not use commercial Google Map if he was really investigating the incident?
Commercial Google Map ni biashara tofauti kabisa na ile alikochukua CNN. Hupati latest satellite imagery kutoka Google Map ( commercial or otherwise ). Commercial Google map imagery zake hazina tofauti na hizo unazoziona mwenyewe uki-google location. Ni za zamani.
 
CCM ifanye tena vetting kupata vichwa finest kuwatetea mitandaoni. Nyie batch ya UVCCM mliosambazwa mtandaoni after MO29 your minds are very shallow.
 
Jipe moyo tu wewe punda, Donald Trump hakuita CNN peke yake fake news, aliita Main stream media zote fake news isipokuwa Fox news, acha kupumbaza watu wewe fala. Rupert Murdoch mmiliki wa Fox News kwa sababu Fox NEWS ni yake na ni rafiki ya Trump ndiyo hakuitwa fake news. By the way CNN ndio walioweka wazi kashfa yake ya Hush money aliyomlipa Stormy Daniels kiasi cha Dollar 136,000. Sasa fake news gani ilimpeleka mahakamani na ikathibitishwa makosa yake yote 36 aliyafanya, kubwa zaidi ni kumhonga huyo kahaba.
Usifikiri utawadanganya watanzania wa leo? Mpumbavu wewe na fala mkubwa unayedanganywa na Gerson Msigwa kuiweka CNN chini, it is very shit idea that you are being paid for writing here in JF kutetea maovu ya akina Msigwa. Shame on you!
You are blowing hot and cold dude. Hata angesema mashirika 30 yote ya habari ni FAKE news na CNN ikiwepo, zitabakia FAKE tu. Two wrongs don't make one right.

You are just competent in writing insults
 
Wahuni wa kundi la CCM mtandao safari hii Larry kawashika makalio dadeq.

CCN inaaminika Duniani kote, Larry kasisitiza CNN ipo tayari ku defend habari hiyo popote.
Kesho sijui mtakwenda kukopa wapi? kwa mchina?
 
I was trying to check on his credentials...is he an investigative journalist or a forensic expert...

my findings ...I don see him near to what he has tried to work on covering the serious report about Tanzania Election violance.

My Take :he is just a puppet paid for economic espionage against United Republic of Tanzania.

CC Pascal Mayalla



KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Kwa hiyo kilicho andikwa ni uongo au ukweli
 
I was trying to check on his credentials...is he an investigative journalist or a forensic expert...

my findings ...I don see him near to what he has tried to work on covering the serious report about Tanzania Election violance.

My Take :he is just a puppet paid for economic espionage against United Republic of Tanzania.

CC Pascal Mayalla



KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Kwahiyo alichoreport hakikutokea? Au kwakuwa siyo filed yake basi hakupaswa kureport chochote? Tupe huo wasifu wake hapa tuuchambue.
This time hizo posho mtazila kwa tabu sana
 
I was trying to check on his credentials...is he an investigative journalist or a forensic expert...

my findings ...I don see him near to what he has tried to work on covering the serious report about Tanzania Election violance.

My Take :he is just a puppet paid for economic espionage against United Republic of Tanzania.

CC Pascal Mayalla



KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
So what do u want to analyse..theres any quarry regarding his report on october 29
 
I was trying to check on his credentials...is he an investigative journalist or a forensic expert...

my findings ...I don see him near to what he has tried to work on covering the serious report about Tanzania Election violance.

My Take :he is just a puppet paid for economic espionage against United Republic of Tanzania.

CC Pascal Mayalla



KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 

Attachments

  • 807385ecbacd02a24b52b03c5c696267.mp4
    7.2 MB
Ni kweli kafanya na akina Rachel dangwa ,Mange kimambi ,Hilda Newton,Sativa na Maria Tsehai mathink tank wa Gen z
Kwani mama Samia wakati anahutubia bunge alitoa pole kwa akina nani? Na ya nini?
Naona mnazidi kujichanganya tuu
 
Mbona wametoa mlio si mkamshtakiiiiiiii manasubiri nini kuweni kama turampu
 
I was trying to check on his credentials...is he an investigative journalist or a forensic expert...

my findings ...I don see him near to what he has tried to work on covering the serious report about Tanzania Election violance.

My Take :he is just a puppet paid for economic espionage against United Republic of Tanzania.

CC Pascal Mayalla



KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
So what? Mliua au hamkuua? Na nyinyi manywinywinywi ni majinga hadi kiama, ungejisumbua tu kidogo kufahamu hiyo report imeandaliwaje usingepoteza muda kuandika uharo huu🤮🤮🤮🤮
 
I was trying to check on his credentials...is he an investigative journalist or a forensic expert...

my findings ...I don see him near to what he has tried to work on covering the serious report about Tanzania Election violance.

My Take :he is just a puppet paid for economic espionage against United Republic of Tanzania.

CC Pascal Mayalla



KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
kama ni mimba ndiyo ishanasa sasa utafanyaje zaidi ya kutafuta ukwaju
 
Kule kwetu vijana tulikuwa tunasema " ukiusha tahiriwa govi halurudi, lakini ukiwa hujatahiriwa hata ukijificha msituni na govi lako wewe hujatahiriwa, na nywele ukinyoa zinaota ila govi likikatwa halioti.".

Ccm na mapolisi wao wameshatahiriwa, mwanzo walikuwa wanajificha gizani lakini sasa dunia imeshawaona, na hawawezi kuonyesha ushahidi hadharani, ila sherehe za jando zimeshathibitisha hilo.

Ccm na mapolisi yao waondoke nchi hii siyo mali yao binafsi na sisi sio ng'ombe wao.
 
Through commercial Google Map you can obtain those images. Why he did not use commercial Google Map if he was really investigating the incident?
Mkuu, hivi wadhani ni yeye ndie aliekuwa akiongoza huo uchunguzi.

Timu yake yeye kama Lead , yaweza kuwa watu wanofikia hata 100 hivyo si peke yake, yeye ni Lead tu yaani aongojea materials yashushwe na timu nzima ya CNN.

Hivi vyombo vya kimataifa hufanya kazi zao kwa kushirikisha idara, taasisi na kampuni nyingi tu.

Hivyo kwa mfano picha za satellite zimepigwa na kampuni ingine kabisa ambayo haipo Nairobi na yaweza kuwa South Africa.

Kama mmeamua kumshambulia Madowo Kama yeye au Kama Mkenya sawa Ila mkitaka kuzama kwenye kina kinohusu huo uchunguzi wao ambao umelalia kwenye ‘facts findings’, basi nanyi muwe mmejiandaa kitaalam.
 
Kwahyo wewe unadhan ile ni kazi ya Larry pekee. Nyie watu mbona mnaakili fupi sana!
Mwaka 1998 CNN ndo walikuwa watu wa kwanza kuja Tanzania baada ya lile bomu lilolipuka Ubalozi wa Marekani pale Kinondoni.

Mimi nilikuwa narudi home kutokea Mikocheni na kwa baadae kwa mara ya kwanza nikamwona Ben Wedeman ambae alikuwa bureau chief wa CNN Nairobi alitangaza live pale. Sasa hivi huyu mjamaa yupo Rome, Italia.

Hi idadi ya watu wa timu yake ndo ilinifanya nikiheshimu chombo hichi.

Sikuwahi kuona chombo chochote cha Tanzania kikiwa live kutokea pale zaidi ya CNN na baadae akaonekana hayati Nyerere (sifahamu alifuata nini mahali pale) akishangaashangaa pale.

Na kabla ya pale nilipenda chombo hichi kwa uwezo wake wa kuripoti kutokea sehemu yoyote duniani Kama DW, BBC na Aljazeera.

Vyombo hivi vyatumia satellite, internet ya uhakika na waandishi Kama Balile hawana uwezo wa kufanya kazi kule.
 
Una hakina unajua

Commercial Google Map ni biashara tofauti kabisa na ile alikochukua CNN. Hupati latest satellite imagery kutoka Google Map ( commercial or otherwise ). Commercial Google map imagery zake hazina tofauti na hizo unazoziona mwenyewe uki-google location. Ni za zamani.
Na kwa kuongezea hadi dakika hii tunapoandika hapa zipo kampuni zaidi ya 100 za kimataifa zenye uwezo wa kuchukua picha za satellite.

Kwa mfano Planet Lab wana uwezo wa kufanya global monitoring kwa ajili ya surveillance, evidence gathering na shughuli zingine.

Ndo maana leo hii Ukraine yaweza kukusanya data za watu wanouliwa kwenye vita mara moja bila kuchelewa kwa sababu wana contracts na kampuni Kama hizi.

Au kule Sudan juzi AlJazeera wamepata picha za satellite za makaburi ya halaiki ambazo zimepigwa na maabara ya chuo kikuu cha Yale cha Marekani.

Hivyo CNN wana access na kampuni Kama Planet Lab na wakitaka Data Kama satellite imagery watapa anytime.

NB: Natoa angalizo mkienda Tena kujaribu kufukua kule Kondo na Mapwepande mitambo ya surveillance ipo hewani.
 
I was trying to check on his credentials...is he an investigative journalist or a forensic expert...

my findings ...I don see him near to what he has tried to work on covering the serious report about Tanzania Election violance.

My Take :he is just a puppet paid for economic espionage against United Republic of Tanzania.

CC Pascal Mayalla



KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Badala ya kujiuliza kwa nini unaongozwa na mtu ambaye hana taaluma yoyote (hata upishi) ile zaidi ya Div 4 ya kidato cha nne, wewe unauliza kuhusu mtu aliye kwenye taasisi yenye kila aina ya rasilimali watu!!??

Larry Madowo na CNN kwa ujumla wamewaacha uchi, na badala ya kuchutama, mnatanua miguu!!!
 
Back
Top Bottom