Larry Madowo is not an Investigative journalist, he is just business and economic reporter!

I was trying to check on his credentials...is he an investigative journalist or a forensic expert...

my findings ...I don see him near to what he has tried to work on covering the serious report about Tanzania Election violance.

My Take :he is just a puppet paid for economic espionage against United Republic of Tanzania.

CC Pascal Mayalla

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Huu ujinga umeleta hapa, ni kama ule ujinga wana ccm walikuwa wanaambiana Lisu anajua sheria za mazingira tum sasa hivi amebambikiwa kesi ya uhaini, anapiga shule ya hatari ya sheria huko mahakamani, hadi majaji waliokuwa wamepewa maagizo wamfunge tarehe 12 Nov wamechaganyikiwa, na kesi haieleweki itaendelea lini.

Wiki zaidi ya tatu vyombo vyetu vya habari havikuwa vinatangaza chochote kuhusu uchaguzi wala machafuko, lengo lilikuwa ni kupitisha uchaguzi wa kishenzi. CNN wameamua kuweka habari hadharani tuliyoshindwa sisi ww unatuletea porojo hapa.
 
I was trying to check on his credentials...is he an investigative journalist or a forensic expert...

my findings ...I don see him near to what he has tried to work on covering the serious report about Tanzania Election violance.

My Take :he is just a puppet paid for economic espionage against United Republic of Tanzania.

CC Pascal Mayalla

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
IMG_7890.jpeg
 
Kwahyo wewe unadhan ile ni kazi ya Larry pekee. Nyie watu mbona mnaakili fupi sana!
 
How did he manage to obtain satelite pictures at Kondo area after the said incident occured but he failed to obtain pictures on the material date and time? Madowo's report is fablicated report.
Nyie chawa mna shida sana kwani kazi yenu ya kupindisha ukwell imefika mwisho.
 
I was trying to check on his credentials...is he an investigative journalist or a forensic expert...

my findings ...I don see him near to what he has tried to work on covering the serious report about Tanzania Election violance.

My Take :he is just a puppet paid for economic espionage against United Republic of Tanzania.

CC Pascal Mayalla

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Nyie media zenu kutwa kuwahoji wanawake wenye makalio makubwa

Ova
 
I was trying to check on his credentials...is he an investigative journalist or a forensic expert...

my findings ...I don see him near to what he has tried to work on covering the serious report about Tanzania Election violance.

My Take :he is just a puppet paid for economic espionage against United Republic of Tanzania.

CC Pascal Mayalla

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Wewe ndiyo mfana wa hao watu wa serikali ya Tanzania, wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri. Unataka Forensic evidence, usidhani watu hatuna akili, mnakimbikimbia kuhamisha miili ya watu mliowaua ili kupoteza ushahidi. Shame on you! Unasema ni puppet? Wakati mnaua mlikuwa mnajua kuna puppet and economic espionage? Huna akili ng'ombe wewe. Nani anakuonea wivu, uchumi wa Tanzania unaopitwa hata na Guatemala, El Salvador na nchi za kijinga? Kweli wewe umebakiza mavi kichwani mwako...fala wewe
 
punguza frustrations kwanza ndio uje kujibu mada yangu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mnachambana na CNN, mna uhakika vichwa bado mnavyo kweli? Au mlishakatana, mana yule shehe alisema, "tutakatana vichwa"
 
I was trying to check on his credentials...is he an investigative journalist or a forensic expert...

my findings ...I don see him near to what he has tried to work on covering the serious report about Tanzania Election violance.

My Take :he is just a puppet paid for economic espionage against United Republic of Tanzania.

CC Pascal Mayalla

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Mungu amewakataa ccm Wala msitumie nguvu kubwa kujisafisha. Kama angewasifia Leo hii msingesema ni puppet. Amekuwa mbaya kwenu sababu kasimama na wananchi
 
Through commercial Google Map you can obtain those images. Why he did not use commercial Google Map if he was really investigating the incident?
What? Google wenyewe wananunua images kutoka sources hizo hizo alikochukua CNN. Google Map images zao sio real-time, nyingine ni 3 - 5 years old.
Commercial Google Map ni biashara tofauti kabisa. Ni Routes, API etc. sio kuuza real-time imagery.
Kwa taarifa hizo images mtu yeyote anaweza akanunua. Tena ukichukua sehemu ndogo kama 1 square km bei ni chini ya $100.
 
I was trying to check on his credentials...is he an investigative journalist or a forensic expert...

my findings ...I don see him near to what he has tried to work on covering the serious report about Tanzania Election violance.

My Take :he is just a puppet paid for economic espionage against United Republic of Tanzania.

CC Pascal Mayalla

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
So what, stupid!
 
And he reports for CNN, a fake news mediaView attachment 3505504
Jipe moyo tu wewe punda, Donald Trump hakuita CNN peke yake fake news, aliita Main stream media zote fake news isipokuwa Fox news, acha kupumbaza watu wewe fala. Rupert Murdoch mmiliki wa Fox News kwa sababu Fox NEWS ni yake na ni rafiki ya Trump ndiyo hakuitwa fake news. By the way CNN ndio walioweka wazi kashfa yake ya Hush money aliyomlipa Stormy Daniels kiasi cha Dollar 136,000. Sasa fake news gani ilimpeleka mahakamani na ikathibitishwa makosa yake yote 36 aliyafanya, kubwa zaidi ni kumhonga huyo kahaba.
Usifikiri utawadanganya watanzania wa leo? Mpumbavu wewe na fala mkubwa unayedanganywa na Gerson Msigwa kuiweka CNN chini, it is very shit idea that you are being paid for writing here in JF kutetea maovu ya akina Msigwa. Shame on you!
 
I was trying to check on his credentials...is he an investigative journalist or a forensic expert...

my findings ...I don see him near to what he has tried to work on covering the serious report about Tanzania Election violance.

My Take :he is just a puppet paid for economic espionage against United Republic of Tanzania.

CC Pascal Mayalla

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Larry si freelance journalist in case you don't know that, habari kabla ya kurushwa kuna process. You can't just bring any junk and expect it to go on air, it gets analyzed and must be verified as well then kinapitiwa na editorial board. Hivyo personal attacks prove low intelligence.
Vipi chawa wote mnakuja na style ya personal attacks kwa Larry badala ya kupambana na habari yenyewe? Je mnashindwa namna ya kuijibu simply because your side of story doesn't exist?
Cut the crap and tackle the real issue which is the massacre of 29th to 31st Nov and the mass graves.
 
Back
Top Bottom