Larry Madowo: Kwanini Umoja wa Afrika unashambuliwa vikali kwa tamko hili kuhusu Venezuela?

Larry Madowo: Kwanini Umoja wa Afrika unashambuliwa vikali kwa tamko hili kuhusu Venezuela?

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
kutoka kwa nguri wa habari Larry madowo:Why is the African Union getting cooked for this statement on Venezuela?.

Maana afrika kama futuhi fulani.Kwa hiyo ya afrika ni kama hakuna wenye uchungu.

Screenshot_20260104-173718.png


Barua hii hapa umoja wa afrika unaonewa wivu
FB_IMG_1767537534904.jpg
 
Hao wahuni wanajua mwenzao akinyolewa ni lazima na wao watie maji.

Mapumbavu sana hayo, yanateka na kuuwa Waafrika kila wakati halafu yanashangaa muuaji mwenzao kadakwa kama digi digi? Wajiandae. Wananchi tunamuunga mkono Baba mkubwa Trump.

Umma wa Wavenezuela wanafurahi na kusherekea anguko la dikteta wao:


View: https://www.youtube.com/live/ZebKQHBdaq4?si=cMuVq7_yfH2yEEaB
 
Wamekuwa cooked na nani?Nchi nyingi zimelaani huo uharamia.Aweke ushahidi sio sweeping statetements.Hata Democrats wamepinga uharamia huyo wa kufanana na Wlid West.
 
Wamekuwa cooked na nani?Nchi nyingi zimelaani huo uharamia.Aweke ushahidi sio sweeping statetements.Hata Democrats wamepinga uharamia huyo wa kufanana na Wlid West.
ushaidi huu hapa
FB_IMG_1766837361271.jpg
 
Huku Africa kuna Congo na Sudan vita vinaendelea kuna mkakati gani mmeufanya ili kumaliza vita ?
AU ni WAJINGA wa mwisho
 
Stupid, eti wanalaani USA kumwondoa Maduro, lakini bladfaken hayaoni yaliyotokea Tanzania! Mpaka leo yame mute as if nothing happened !Takataka!
 
AU inakaa ikishtumu mataifa ya magharibi ili hali wakati wote huo wao hawakuwa kumchukulia Hatua kiongoz yoyote wa Africa ambae amevunja misingi ya Haki za kibinadamu na misi ya demokrasia
 
AU nayo ipo ilikujitetea katik upuuzi wao wa kimaslai binafs exploit of democracy and violation of Human rights
 
Back
Top Bottom