PostGE2025 Larry Madowo: Meta walipewa amri ya kisheria na TCRA kufungia Account ya Maria Sarungi, Mange alikiuka sheria za Meta

PostGE2025 Larry Madowo: Meta walipewa amri ya kisheria na TCRA kufungia Account ya Maria Sarungi, Mange alikiuka sheria za Meta

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram Larry Madowo ametoa taarifa ya majibu ya Meta sababu za Kufungia Account ya Instagram ya wanaharaki Maria Sarungi na Mange Kimambi;

"Meta inathibitisha kwamba ilizuia akaunti ya Instagram ya Maria Sarungi-Tsehai nchini Tanzania baada ya amri ya kisheria kutoka kwa serikali.

Kampuni hiyo inanijibu kwamba mwanaharakati Mange Kimambi alipigwa marufuku kutumia Instagram na WhatsApp kwa kukiuka sheria zake mara kwa mara." - Ameandika Larry Madowo

1764857324302.png
 
Kuna jamaa hapo juu alisema account ya mange itarejea baada ya 24hrs...watu tunapotezwa sana
 
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram Larry Madowo ametoa taarifa ya majibu ya Meta sababu za Kufungia Account ya Instagram ya wanaharaki Maria Sarungi na Mange Kimambi;

"Meta inathibitisha kwamba ilizuia akaunti ya Instagram ya Maria Sarungi-Tsehai nchini Tanzania baada ya amri ya kisheria kutoka kwa serikali.

Kampuni hiyo inanijibu kwamba mwanaharakati Mange Kimambi alipigwa marufuku kutumia Instagram na WhatsApp kwa kukiuka sheria zake mara kwa mara." - Ameandika Larry Madowo

Jambo nzuri sana ni kwamba sio mwisho wa maisha Mange Anaishi na Maria wanaishi, Insta ina exist an WhatsApp Ina exist.
 
Weka list ya madai ya hao wana harakati tupime kama yanafanna na hoja zako na kama wewe ni Shabiki maandazi au upo seriously na ulichokiandika, napata shida sana tuhuma zisizo na ushahidi. weka vitu hadharani kwa mtuhumiwa alivyoshitakiwa. Ndio yale mambo ukishindwa hoja unasema wanakuchukia sabau juzi ulikula kuku. kha!
 
Hii kwake ni biashara itakuwa nzuri sana
Haya mazoba wake mkamchangie aftatutatu kwenye app yake kama mnapenda sana....
 
Back
Top Bottom