Jambo nzuri sana ni kwamba sio mwisho wa maisha Mange Anaishi na Maria wanaishi, Insta ina exist an WhatsApp Ina exist.Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram Larry Madowo ametoa taarifa ya majibu ya Meta sababu za Kufungia Account ya Instagram ya wanaharaki Maria Sarungi na Mange Kimambi;
"Meta inathibitisha kwamba ilizuia akaunti ya Instagram ya Maria Sarungi-Tsehai nchini Tanzania baada ya amri ya kisheria kutoka kwa serikali.
Kampuni hiyo inanijibu kwamba mwanaharakati Mange Kimambi alipigwa marufuku kutumia Instagram na WhatsApp kwa kukiuka sheria zake mara kwa mara." - Ameandika Larry Madowo
Weka list ya madai ya hao wana harakati tupime kama yanafanna na hoja zako na kama wewe ni Shabiki maandazi au upo seriously na ulichokiandika, napata shida sana tuhuma zisizo na ushahidi. weka vitu hadharani kwa mtuhumiwa alivyoshitakiwa. Ndio yale mambo ukishindwa hoja unasema wanakuchukia sabau juzi ulikula kuku. kha!