Sungurampole
JF-Expert Member
- Nov 17, 2007
- 984
- 205
Mkuu kama kuna mzunguko wowote wa taarifa naomba nikumbukwe...tangu kikao cha B point kimepita niko mweupe kabisa wa taarifa...
Asenti..
Bado mnapokea wanachama?
Ngoja niwaulize wanachama, tayari tupo phase II ya utekelezaji, ili kama wakinipa jibu zuri nitaku-PM au nitaliweka hapa hadharani.
Asante in advance. . .
Vipi unataka kujiunga nasi?
Nikiona vigezo na masharti nawezana navyo. . . DEFINATELY.
hakuna updates hapa?
Mbona tulishatoa updates siku nyingi sana, wewe ulikuwa wapi?
mlisemaje vile?
Tulisema shamba limepatikana kando ya mto Mduzi,nyumba tumejenga,kijana amepatikana wa kukaa na kutunza mifugo,njooni tufuge. Hamjaja, ila nasikia ww uko njiani Mbagala unakuja shambani, ni kweli?
hahahaha, kwa jinsi nilivokukumbuka acha tu nije. niandalie mbuzi mmoja nimtafune.
Njoo tukuvulie na samaki, nyie kwenu mnakula samaki?
kwetu tunakula kila kitu kasoro noah. samaki mnafuga wenyewe au?
Yes, wanafugwa pale Mapumziko Garden, nao ni samaki wa kiasili pia. Na kuku wa kienyeji wanakula panzi na wadudu wengine.
mpo vizuri sana mkuu
Jamani bado tupo kweliiii!!! Ni muda sanaMdogo mdogo ndio mwendo.