LAT, Voice of a Reason, Malila, Ameoba na wengine wengi...


Wepesi wa kusema na kuandika tutawafahamu tu. Ngoja tuone nani anajitolea kuwa kiongozi. Experience tulioyoipata tosha kabisa. Unaalika mkutano, wanaconfirm watu 50 kuhudhuria wanakuja 7.

Wanajiandikisha watu 98, wanachanga watu 33. Ki ukweli watanzania na umaskini kama maji na samaki!

Glory be to GOD.
 
usikate tamaa waimize tu watachanga na mkutanoni watakuja
 
Dada Carol, umeshawahi kusikia usemi wa Talk is Cheap. its sooo easy kuplan na ku execute ktk keyboard.ikifika wakati wa walk the talk hapo kila mtu yuko sehemu inaitwa bize.
 
Dada Carol, umeshawahi kusikia usemi wa Talk is Cheap. its sooo easy kuplan na ku execute ktk keyboard.ikifika wakati wa walk the talk hapo kila mtu yuko sehemu inaitwa bize.

Hii thread nitaamka hadi usiku wa manane kuangaia nani kajitoa kusimamia uitishaji mikutano, ukamataji michango, kwenda brela, business plan etc!!
 

Dada Carol, umeshawahi kusikia usemi wa Talk is Cheap. its sooo easy kuplan na ku execute ktk keyboard.ikifika wakati wa walk the talk hapo kila mtu yuko sehemu inaitwa bize.

Hii thread nitaamka hadi usiku wa manane kuangaia nani kajitoa kusimamia uitishaji mikutano, ukamataji michango, kwenda brela, business plan etc!!

Wakuu mmenikumbusha "Belbins Team Roles.." utaona kwamba ili team iwe nzuri unatakiwa kuwa na aina ya watu tofauti wenye qualities tofauti ili kuweza ku-complement each other. Ndio maana nikasema hata hii Saccos ili kupata watu wengi zaidi ni jinsi ya kuiuza na kuonyesha watu "what's in it for me.." yaani faida atakayopata hivyo basi kuipackage vizuri na kuweza kuiweka kuwa rahisi kutokana na watu waliopo nchi tofauti na sehemu tofauti.., kuhusu watu kutokuchanga labda hawajaelewa vizuri faida zake.., kuhusu kutokuja kwenye meetings labda kubadilisha na kufanya watu wawe na online meeting na online conferences... (binafsi nimeona hii idea ya saccoss ni nzuri na ina faida ila kama nilivyomwambia TF hapo juu na mdau mmoja alieniambia kuhusu Saccoss hii ni kwamba right now nipo hadi kwenye utosi na mambo fulani ambayo yananikinga hadi nashindwa ku-jump in vizuri kwenye hii project (ukizingatia huwa sipendi kufanya mambo nusu nusu.., ) ndio maana hata sijafuatilia hii issue kabisa wala kuji-involve kabisa mpaka hapo takaposawazisha issue fulani.., (kwahiyo siwezi nikacomment kwakweli sababu hata sijasoma vizuri maendeleo na mambo yanavyokwenda ila I promise kuna siku takaa vizuri na kufuatilia post zote na mambo yanavyokwenda, ila kila nikipata chance ya ku-chip in ideas hapa na pale tafanya hivyo...

Haya basi tukirudi kwenye Belbins Team Roles utaona kwamba ili team ikubali unahitaji watu wenye roles tofauti kama ifuatavyo:-

Action Oriented Roles
Shaper - Challenges the team to improve
Implementer - Puts ideas into action
Completer Finisher - Ensures thorough, timely completion

People Oriented Roles
Coordinator - Acts as a chairperson
Team Worker - Encourages cooperation
Resource Investigator - Explores outside opportunities

Thought Oriented Roles
Plant - Presents new ideas and approaches
Monitor / Evaluator - Analyzes the options
Specialist - Provides speacilized skills.

Hivyo basi wakuu utaona kwamba ili team ifanikiwe wanahitajika watu wenye qualities tofauti na akipatikana hata mtu mmoja anaefatilia mambo na kuweka team ikae into shape basi wengine watafata.., na watu wakiona faida ya jambo lazima tu watajiunga si unaona hata kitu kama DECI ingawa ilikuwa ni jambo gumu kufanyika kazi na halina base yoyote watu walikuwa tayari kukopa ili kujiunga kutona na rewards mwisho wa safari..., Pia Caroline nimeshaona kulingana na qualities zako ni mtu mzuri wa kufanikisha na unafaa kuwa Completer/Finisher ila usife moyo kwenye Saccos na am sure ikiwa packaged vizuri kwa watu wa mbali (mfano online meetings) itafanikiwa na mimi in due time takapomaliza haya mambo yaliyonitinga am sure I will join you guys...

Na everything starts with an idea na itakuwa priceless hapa kama ikipatikana idea nzuri easy to implement na haiitaji usimamizi mkuwa na inahitaji minimum capital kuanzishwa..... (yaani hata isipotake-off ) mere knowledge gained will be worthwhile
 
Wakuu hii issue inabidi kwanza tuangalie nini ni strength au weakness zetu (tufanye SWOT ANALYSIS) Strength, Weaknesses, Opportunities na Threats.., utaona kwamba tofauti kubwa hapa kwamba sisi ni wengi hivyo basi tutumie hii iwe ndio advantage yetu (iwe ndio strength). Kwahiyo tutumie opportunities ambazo zitafanya wingi wetu uwe advantage moja ya hizo opportunities ni risky projects zenye high returns.

Pia kama nilivyosema mwanzo (KISS IT) badala ya kuanza kuangaika na company formations and the likes tunaweza kwanza kujitosa kama project oriented venture (mambo ya brela na ofisi yatakuja baadae). Hivyo basi tunaweza kuanza kwa kuform ushirika fulani ambao tunaweza hata kujaribu kilimo cha kitu fulani au processing ya food products fulani... just as an example nimeona kuna hii plant / herbs / kiungo (the most expensive plant in the world ) ambayo kuilima ni very labour intensive na sijui wala sina uhakika kama inaweza hata kuota bongo ila sababu pia hapa kuna watu wanajua kilimo (hio ni advantage).

Kwahiyo utaona kwamba kwa kukodi hata eneo kubwa hata starting capital itakuwa ndogo na pili baada ya hizi project kufanikiwa forming ya group inakuwa imefanikiwa na tunakuwa tumepiga hatua bila technicalities nyingi..

wakuu hio the most expensive plant ni hii hapa Writer-South Asia: Saffron - The most expensive Plant in the world(saffron) sijajua kama huu unaweza kuota Bongo ila ni perennial plant na ni labour intensive (ingawa bongo labour ni cheap) na soko lake ni dunia nzima sina uhakika kama inaweza kustawi bongo ila hata kama sio hii plant you get the idea of what I mean; au zile idea za kilimo cha sungura, samaki n.k. you get the idea where am coming from (lets make this project oriented)
 

yeah that's sounds great..... i am totally dormant when it comes to business stuff.. so don't expect me to "add or invet a new balls"... but one thing for sure i can promise you is what ever shape that ball will be shaped into will make sure it keeps on ROLLING.......by the way when is the next meeting for JE Saccos.... i will try to show up. .
 
Hiyo ni idea nzuri sana. Matatizo huwa yanakuaga kwenye management tu, kama ukipata management nzuri na bila ufisadi basi biashara inakuwa nzuri sana. Mabenki yote ndo hivi yanavyoanzishwaga watu wanajikusanya wanachanga capital kitu kinaanza na si lazima kuanza na 5,000,000, inaweza ikawa kiasi chochote so unakuwa na share kulingana na hela uliyoweka. Mwenye share nyingi ndo anakuwa bosi. Hii inasaidia hata wale wenye pesa kidogo kufanya biashara na kuboresha maisha yao.
 

Quite good idea... hasa kuwekeza katika fixed assets...!!
 

Mkuu Dont Try to Show UP. We want you to SHOW UP. karibu sana JE-Building communities
 
Salaam kwa wote,

Nilikuwa nje ya mtandao kama week mbili hivi,sababu kubwa ni kukamilisha na kuweka sawa mipango ya kijamii,na mingine ilianzia hapa hapa jf. Fursa ziko nyingi sana,uchaguzi wa fursa ipi sahihi kwa kipindi kipi ndio tatizo.

Naomba nijazie wazo la Nm la shopping mall, twendeni ktk vijiji/miji inayokuwa around dar/any city, tupate eneo kubwa na tulifanye service center. Tutapiga hela hadi basi.

Mfano, Chalinze/Chanika. Tukipata eneo la eka kumi along the high way, tunaweka maduka ya wholesale, kumbi, cafe/hotel, carwash,stationaries,tukumbuke kuwa pakiwa na huduma bora hata makampuni mengine kuja kukodisha yatavutika, etc, kisha kutokea hapo tunaweza kusonga mbele. Kama umewahi kupita Kilimahewa Parish ya RC njia ya Lindi unaweza kupata picha.
 

Mkuu roughly hii venture inaweza ikawa kama kiasi gani cha capital kuanzia kupata eneo ambalo ni location nzuri..., ni kweli hapa pesa ipo na ni business ambayo ni long term, lakini ni vema tukaona na nuts and bolts tuone tunahitaji kama kiasi gani na tunaweza tuka-kiraise vipi na hata kama tunakopa ni kiasi gani
 

Bei ya ardhi sio stable wala si uniform. Jumamosi nilifika Kimanzichana, na baadae nikafika kilimahewa Parish,Kimanzichana ni mji unaokuwa kwa kasi ya kutisha, wenyeji wanasema serikali ilikusudia iwe Wilaya mpya,naamini mtu ukiwa na 10M Tsh unaweza kupata eneo zuri kubwa na ukaanza na huduma ya tofali kabisa huku ukijenga taratibu. Kimanzichana panaweza kufaa sana kwa sababu pana fursa nzuri za kilimo, watu ni wengi, umeme unapelekwa, barabara kuu ipo, kuna vijiji vingi around, mtizamo wangu unalenga ktk huduma kwa jamii kwa sababu unakuta miji mingi haina service center za kisasa, tujaribu hii idea.

Au pale sanga sanga njia ya kuingia Mzumbe. mimi si mtalaam sana wa makisio ya ujenzi.
 

Sasa nimekupata kama tunaweza kwenda sehemu ambazo hazijawa busy sana na kuwaletea wananchi huduma hii itafaa so long as panafikika au kuna jamaa ya kutosha inatuzunguka.., sababu kuna mdau alitoa wazo la kuweka mall ya kufa mtu dar ambapo tayari pako compact ndio hapo nikaona tu kupata ardhi ya maana huenda tukawa tunaongelea mamillioni ya tshs kama sio bilioni..., kwa idea hii naona sio mbaya na capital wise inaweza kufanyika..., cha maana ni kupata location mengine yatajileta

Ujenzi hata mtu unaweza ukaanza step by step na kama location ni nzuri unaweza watu ukawawekea msingi tu wakamalizia wenyewe kwa mkataba wa kupewa pango kwa miaka kadhaa
 
Gharama ya kujenga shopping mall ni ndogo kuliko kujenga nyumba za kuishi binadamu.kwani maduka huwa yanajengwa ktk mfumo wa warehouse/godowns.
mfano mzuri ni ujenzi uliofanyika mlimani city. hatutaanza kwa kiwango cha mlimani city .ila muelekeo ni kama huo
Ujenzi wa Interlocking bricks hauna Gharama kubwa
 
Actually nadhani kupata kwanza location ndio jambo la maana sana hii ikipatikana mengine yatafuata..

Na mall depends na ukubwa wake sababu kama itakuwa ni ya ghorofa basi ni kwamba (msingi ndio ghorofa ) sababu ukishamaliza msingi wengine wanaweza kumalizia baadae hata kwa gharama zao uzuri ni kwamba hatuhitaji finishings au partition wanaweza kufanya wenyewe.., nadhani issue ni location na kiwanja na kama kweli kiwanja kinaweza patikana kwa pesa alizosema mkuu hapo juu malila then this is a goldmine.., waiting to be explored

Lakini kiwanja kisiwe in the middle of no where ambapo ni fisi tu na mbwa mwitu wanaweza wakafika 🙂
 
Great! isiwe maandishi tu wadau, wekeni kwenye vitendo! I bless and pray for your success.
 
mkuu mlachake,

this idea should excel, please adress a strategic plan from your point of view
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…