LAT ni skype kwenye hili la Water Rig Machine....
mkuu nimeku skype
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LAT ni skype kwenye hili la Water Rig Machine....
Hili wazo limetulia! However like most great ideas, the tricky part is execution!! Ideas zimetolewa nzuri, watu pia wana ari... lakini jinsi ya kuchukua hatua zinazofuata na uwezo wetu wa kuendelea kulifuatilia ndio kitakachotofautisha mazungumzo baada ya habari na kuanzisha biashara/kampuni ya kweli. Nashauri yafuatayo:
1. Ajitokeze kiongozi/coordinator/moderator
2. Tupate summary ya potential businesses
3. Tuangalie jinsi ya kukutana - kama ni online meeting (itawapatia nafasi na walio nje ya mji/nchi) au ana kwa ana ili kufahamiana
4. Tupige kura juu ya top 3 ideas ambazo watu wangependa kuwekeza
5. Zikusanywe au zitengenezwe business plans kwa ajili ya hizo business zilizoshinda katika # 4 na inayoonyesha highest RoI ipewe kipaumbele
6. Kusanya "firm commitments" na kuangalia starting capital (idadi ya active members x 5Mill) - hadi hapa bila shaka wababaishaji watakuwa wameshajitoa
7. Formalize kampuni kwa kusajili kampuni/organization, fungua accounts, tin #, unda katiba etc
8. Members wanapitisha katiba, wanasaini mkataba wa kuwekeza na kuanza kutia pesa kwenye account ya kampuni
9. Execute mchakato wa biashara
10. Rejesha mafanikio na changamoto kwa members na wanaJF hapa
Kwa haraka hizo ndio hatua niizionazo na hili linawezekana ndani ya mwaka huu wakuu! BTW - Sio lazima kulimit investment to 5mill, kama wengine wanataka kuwekeza zaidi basi inakuwa kila share ni TZsh 5 mill... mambo mengi mazuri yananza hivi lakini lazima tuukubali ukweli kwamba hapa sio wote tunafahamiana na hadi mtu akupe their hard earned Tzsh 5 mill lazima aelewe zinaenda wapi. Mfano, kama wewe uko tayari kuchangia mawazo kutokana na ufahamu/fani yako na wengine nao wanakuwa na ari kama hiyo, tutafika mbali. Not to mention nguvu ya kuitangaza hiyo bidhaa au huduma based on the diversity found on JF!
Tuko pamoja!
Wepesi wa kusema na kuandika tutawafahamu tu. Ngoja tuone nani anajitolea kuwa kiongozi. Experience tulioyoipata tosha kabisa. Unaalika mkutano, wanaconfirm watu 50 kuhudhuria wanakuja 7.
Wanajiandikisha watu 98, wanachanga watu 33. Ki ukweli watanzania na umaskini kama maji na samaki!
Glory be to GOD.
I support this 100%, ila cha kushangaza supporters wa hii wengine wameshindwa kutoa just 120,000/= ili tuweze kufikia pick ya kusajiriwa na kuwa recommended kufanya kitu chochote tunachotaka je inawezekana kwa mtu mmoja kutoa (5,000,000), hadithi za mama Deborah Mwenda hizi.
120,000/= ungeitoa ingekuwa rahisi kukusanya hizo milioni kadhaa zilizotajwa hapo bila kuumizana na mtu, kizuri zaidi tayari network itakuwa kubwa. Guys put your effort on JE saccos, you won't regret!
Swala la 5m per person sahau (sikukatishi tamaa), ndiyo ukweli halisi, kama hiyo 120,000 is a big deal!
Dada Carol, umeshawahi kusikia usemi wa Talk is Cheap. its sooo easy kuplan na ku execute ktk keyboard.ikifika wakati wa walk the talk hapo kila mtu yuko sehemu inaitwa bize.
Wepesi wa kusema na kuandika tutawafahamu tu. Ngoja tuone nani anajitolea kuwa kiongozi. Experience tulioyoipata tosha kabisa. Unaalika mkutano, wanaconfirm watu 50 kuhudhuria wanakuja 7.
Wanajiandikisha watu 98, wanachanga watu 33. Ki ukweli watanzania na umaskini kama maji na samaki!
Glory be to GOD.
Dada Carol, umeshawahi kusikia usemi wa Talk is Cheap. its sooo easy kuplan na ku execute ktk keyboard.ikifika wakati wa walk the talk hapo kila mtu yuko sehemu inaitwa bize.
Hii thread nitaamka hadi usiku wa manane kuangaia nani kajitoa kusimamia uitishaji mikutano, ukamataji michango, kwenda brela, business plan etc!!
Hapo kwenye RED ,itabidi tuwashirikishe wataalam wa majembeHii thread nitaamka hadi usiku wa manane kuangaia nani kajitoa kusimamia uitishaji mikutano, ukamataji michango, kwenda brela, business plan etc!!
Mkuu nafikiri the best solution for me and what i can advice kwa watu waliopo Dar tunaweza kuamua we meet one day and we brain storm naamini kila mtu ana different ideas by sharing and having discussion one on one itasaidia zaidi ku-generate more new ideas and you never know what where we might end up that's how we started with JE Saccos and look where we are right now
mkuu ... you have inspired me, very good idea
with a good business plan of a viable investment i have no doubt on this and i support the move,
below my signature have said it all "Esprit de corps" meaning in unity there is thrength
mkuu huu unaweza ukawa ushirikiano mzuri sana, with that amount we can start any product of the food processing industry and our customers are ready everywhere starting from jf members
to turn that into reality we need now to suggest the best viable businesss and a business that have fertile returns
i support this marvelous idea 100%
its high time for feasibility , and devotion is highly needed to unite
yeah that's sounds great..... i am totally dormant when it comes to business stuff.. so don't expect me to "add or invet a new balls"... but one thing for sure i can promise you is what ever shape that ball will be shaped into will make sure it keeps on ROLLING.......by the way when is the next meeting for JE Saccos.... i will try to show up. .
Salaam kwa wote,
Nilikuwa nje ya mtandao kama week mbili hivi,sababu kubwa ni kukamilisha na kuweka sawa mipango ya kijamii,na mingine ilianzia hapa hapa jf. Fursa ziko nyingi sana,uchaguzi wa fursa ipi sahihi kwa kipindi kipi ndio tatizo.
Naomba nijazie wazo la Nm la shopping mall, twendeni ktk vijiji/miji inayokuwa around dar/any city, tupate eneo kubwa na tulifanye service center. Tutapiga hela hadi basi.
Mfano, Chalinze/Chanika. Tukipata eneo la eka kumi along the high way, tunaweka maduka ya wholesale, kumbi, cafe/hotel, carwash,stationaries,tukumbuke kuwa pakiwa na huduma bora hata makampuni mengine kuja kukodisha yatavutika, etc, kisha kutokea hapo tunaweza kusonga mbele. Kama umewahi kupita Kilimahewa Parish ya RC njia ya Lindi unaweza kupata picha.
Mkuu roughly hii venture inaweza ikawa kama kiasi gani cha capital kuanzia kupata eneo ambalo ni location nzuri..., ni kweli hapa pesa ipo na ni business ambayo ni long term, lakini ni vema tukaona na nuts and bolts tuone tunahitaji kama kiasi gani na tunaweza tuka-kiraise vipi na hata kama tunakopa ni kiasi gani
Bei ya ardhi sio stable wala si uniform. Jumamosi nilifika Kimanzichana, na baadae nikafika kilimahewa Parish,Kimanzichana ni mji unaokuwa kwa kasi ya kutisha, wenyeji wanasema serikali ilikusudia iwe Wilaya mpya,naamini mtu ukiwa na 10M Tsh unaweza kupata eneo zuri kubwa na ukaanza na huduma ya tofali kabisa huku ukijenga taratibu. Kimanzichana panaweza kufaa sana kwa sababu pana fursa nzuri za kilimo, watu ni wengi, umeme unapelekwa, barabara kuu ipo, kuna vijiji vingi around, mtizamo wangu unalenga ktk huduma kwa jamii kwa sababu unakuta miji mingi haina service center za kisasa, tujaribu hii idea.
Au pale sanga sanga njia ya kuingia Mzumbe. mimi si mtalaam sana wa makisio ya ujenzi.
Actually nadhani kupata kwanza location ndio jambo la maana sana hii ikipatikana mengine yatafuata..Gharama ya kujenga shopping mall ni ndogo kuliko kujenga nyumba za kuishi binadamu.kwani maduka huwa yanajengwa ktk mfumo wa warehouse/godowns.
mfano mzuri ni ujenzi uliofanyika mlimani city. hatutaanza kwa kiwango cha mlimani city .ila muelekeo ni kama huo
Ujenzi wa Interlocking bricks hauna Gharama kubwa